Recent content by arafat.

  1. arafat.

    JamiiForums Tanzania Nahisi binti yangu kaanza “kudukuliwa”

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajisikiaje bana!!! Ukiambiwa malipo ni hapahapa duniani unakataaa. Na wewe ulidukua usisahau.
  2. arafat.

    JamiiForums Tanzania Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!

    Wazo lako liliongelewa jana kwenye panton mv kazi, tulikuwamo watu kama kumi. Tukasema mr muheshimiwa akiwa anatumbua huwa haongei. Utaona kikao cha kuapishwa tuu, i think pm, ameponea kwenye tundu la sindano, next time may be Sent using Jamii Forums mobile app
  3. arafat.

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa fedha na mpango hospitali ya Rufaa Bugando, mtawa Suzan Bathlomeo ajirusha Ghorofani na kufariki

    Nimechekaaa sanaaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. arafat.

    JamiiForums Tanzania Wabunge walazimishwe kutembelea majimbo yao..

    Ndio anaishi goba lakini kulibgana na video iliyokuwa ikionyesha maisha yake ya kifamilia alisema huwa anakuwa dar es salaam wakati wa likizo au kama kafika dar es salaam kikazi, nilimsikia akisema mara nyingine anaweza kuwa kuwa dar es salaam na nyumbani kwake huko goba asifike, nadhani...
  5. arafat.

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo mimi sio muumini tena wa Kanisa Katoliki

    I know Sent using Jamii Forums mobile app
  6. arafat.

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo mimi sio muumini tena wa Kanisa Katoliki

    Naomba kuuliza, wewe ni mtoto wa ndoa kweli? Na huyu kwenye profile iliyopost hili swala ndio weye? Kama ndio basi hakuna shida you are old anyway unaweza ukaachana na dini zote ukawa mpagani since your days on earth are numbered. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. arafat.

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri mkutano wa Viongozi wakuu wa Chadema na Wanahabari

    I will leave tanzania to boko harram if this will happen.. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. arafat.

    JamiiForums Tanzania KIMENUKA,Diamond na Mavoko wakutana uso kwa uso Basata,Diamond aonekana kutetemeka kama mtoto mdogo alioga maji ya barafu

    Msaga sumu you need to be killed, hata magazeti ya uwazi na nipashe na ijumaa hufai kuwa mwandishi, uhalisia wa title ya habari na kilichomo ndani ni tofauti kabisaaa.... Sent using Jamii Forums mobile app
  9. arafat.

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Tunajifunza nini kuhusu kuachiwa huru kwa Mbunge kijana Bob Wine wa Uganda?

    Hakuna uhuru hapo bado kwa mtazamo wangu, maana katoka mikononi mwa mahakama ya jeshi kakabidhiwa mikononi mwa mahakama ya kiraia, mambo bado ni yale yale tuuu. Na hakuna cha kujifunza pia hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. arafat.

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

  11. arafat.

    JamiiForums Tanzania Diamond na Zari wawasili songea kutumbuiza sherehe za miaka 38 za CCM

    Rudi shule ukasome
  12. arafat.

    JamiiForums Tanzania Diamond na Zari wawasili songea kutumbuiza sherehe za miaka 38 za CCM

    Yaani songea kuna 'hotel inzuri kupita dar"
  13. arafat.

    JamiiForums Tanzania Polisi wa pikipiki waporwa bunduki 2 kwa kushikiwa kisu

    Wewe ni mtanzania ganiii usiyefahamu hata geita iko wapi? Think before you quote. .
  14. arafat.

    JamiiForums Tanzania Polisi wa pikipiki waporwa bunduki 2 kwa kushikiwa kisu

    Haha hoiiii hapaaa
  15. arafat.

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Prof. Lipumba na wafuasi wa CUF wakipata kipigo

    Kuna haki kweliii inchiniii hapa?
Back
Top Bottom