Recent content by apply

  1. apply

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Rais Magufuli awatunuku Kamisheni maafisa wapya 422, atangaza nafasi 3000 za wanajeshi wapya

    Wakuu msaada wenu juu ya vyeo vya kijeshi binafsi huwa vinanichanganya sana kwa mpangilio wake.
  2. apply

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mwanamke amchinja mume wake kisa wivu wa mapenzi

    Daaah! inatia huruma na inaumiza sana!
  3. apply

    JamiiForums Tanzania Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
  4. apply

    JamiiForums Tanzania Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    .... ni nywele kila mtu anazake.
  5. apply

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto kufunguka Jumatatu na kueleza jinsi Diamond alivyo ahidi kumuoa

    Siku zote moto wa kibatali kamwe hauwezi ivisha sufuria la ubwabwa. H. M, jitafakari kwanza.
  6. apply

    JamiiForums Tanzania Members wa JF bwana!!!!

    Wengine humu wamo na hawajui kama hawajui.
  7. apply

    JamiiForums Tanzania Serikali iko tayari kugharamia matibabu ya Tundu Lissu popote Ulimwenguni

    Kwani hili nalo mpaka maombi ndo msaidie serkali acheni kujitekenya wenyewe basi.
  8. apply

    JamiiForums Tanzania MwanaHALISI, serikali inajiumbua. Wakati ule walilifungia lisiandike ya Ulimboka. Sasa ni hili la Lissu!

    Kuna haja gani sasa yakuwa na wandishi wengi wa habari ikiwa serkali inataka ziandikwe habari zinazofanana kwa magazeti yote.
  9. apply

    JamiiForums Tanzania Lini Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli atahutubia UN?

    Shambulio la Lisu kikwazo kikubwa.
  10. apply

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi (msaidizi wa nyumbani) ana busara kuliko mke wangu

    Kila shetani na mbuyu wake hicho ni kikombe chako lazima ukinywee.
  11. apply

    JamiiForums Tanzania Je, kwa Wakristo yawezekana kumbatiza mtoto ambaye amezaliwa pasipo wazazi kufunga ndoa?

    Watoto hubarikiwa na si kubatizwa,wakubatizwa ni yule anaye tambua tendo zima la ubatizo lina maana gani hasa katika maisha yake.
  12. apply

    JamiiForums Tanzania Msukuma akwama polisi, mamia wamiminika mahakamani kumsubiri

    Aliwahi mwambia waziri Magembe kuwa atamroga kwa ile ishu ya wafugaji ,nadhani kwa ishu alonayo sasa ndo sehemu muafaka ya kuonyeshea ndumba zake tuzione awaloge wote walomweka ndani wakati alikuwa anatetea wananchi wake.
  13. apply

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tupeni mahesabu ya matumizi huko hospitali Nairobi

    Upewe ili? we ni mke wake au u mmoja wa wanafamilia?
  14. apply

    JamiiForums Tanzania Kumu 'ignore' dereva wa Lissu lilikuwa kosa kubwa sana la 'watu wasiojulikana'

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
  15. apply

    JamiiForums Tanzania CCM wanataka kufifisha mjadala wa umma kuhusu Tundu Lissu

    Bora kuwa na akiri za Ng'ombe kuliko kuwa na akiri mgando ka za mi ccm,maana Ng'ombe akikataa kunywa maji kamwe huwezi mlazimisha.mpaka hapo huoni akiri ya Ng'ombe ni bora kuliko ya huyo Nkamia wenu.
Back
Top Bottom