Veronica7598
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 361
- 409
Ushauri mzuri...Pole mkuu kwa yalio jiri,ila hekima na busara inahitajika na pia ukiwa kama mwanamme nnaimani umehimili maumivu ya moyo mengi, wanawake ndio sisi na binadamu ndio sisi hakuna mkamilifu, kwanza jiulize je wewe tangu ulipokua nae ushawahi kumsaliti? umesema kua ni mwepesi kuomba msamaha pindi anapokose hata kama umekosa wewe yeye ndio anakuomba msamaha na naamini hii ndio mara yako ya kwanza kumkuta na kosa hili sisemi kua nirahisi ukimuona mpenzi wako ana Cheat ukafumba macho na kuanza upya utakua na maswali mengi yakumuliza kwanini amefanya alivyo fanya nini kilipungua,jee haridhiki na penzi lako au umeongeza few kgs huzungushi au hugongi kama mwanzo yote hayo na mengine mengi ila jibu litakua mume wangu nisamehe shetani alinipitia, nna hakika wewe ni muungwana na unataka ndoa yako iendelee,chakufanya muite mkeo kaanae chini muongee kabla hujaenda kokote akujibu kila unalotaka kumuliza,ila mwisho wa siku moyo wako ndio utaamua kama umeridhika au laaa,
kwa upande wangu ukitaka advice nadhani anastahili kupewa nafasi ya pili na huenda akabadilika,na wewe mume pia usisubiri kusifiwa kwamba uko vizuri kitandani kuna times hata mume hakufikishi ila unauliza vipi game yangu unaionaje haiwi sawa kumwambia sio yenyewe unasema uko vizuri mume wangu na hii ya leo imenitosha week2 staki tena kumbe walaa sema wanawake tumeumbiwa kuridhika,na kustahmili haimanishi ndio wewe mume kisa nimesema its enough for two weeks ndio unanipa mgongo,ebu jaribu tena uone kama sito ichekelea..
I bet hakuwa loyal miaka mitano isipokuwa katika hiyo miaka mitano jamaa hakustukia chochoteIf she was loyal kwa miaka 5 Ushajiuliza kwann sasa hivi amechepuka?
I bet hakuwa loyal miaka mitano isipokuwa katika hiyo miaka mitano jamaa hakustukia chochoteIf she was loyal kwa miaka 5 Ushajiuliza kwann sasa hivi amechepuka?
Mambo ya ndoa nimegundua hayanaga ushauri hata we siku Moja kwa bahati mbaya pengine umeshika simu ya wife pengine unacheza gemu ukaona kitu kisicho kawaida by any means utaanza kumfuatilia tu.Hakuna ujinga kama kumfuatilia mpenz wako..daah poleni sana vijana na ndoa zitakua zinavunjika kila siku. Unapoamua kumspy mpenzi wako uwe tayari umejiandaa kuachana , kama hujajiandaa usimfuatilie.
Vuna ulichopanga baba, no way huo mzigo ndio unaliwa hivyo na huyo kuja kuacha daaaaaaaah sijui sasa amua tu vyovyote
Hujawahi kutwa Na majanga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Hakuna adhabu kubwa kama kumnyamazia mtu ili hali anajua unajua anachokifanya.
Ningekuwa mimi, ningemwambia kwa upole kabisa kuwa "Nimefahamu kuwa unatembea na flani" halafu unamuonyesha naushahdi then humgombeshi wala kumkaripia unapotezea kabisa kana kwamba hujui kinachoendelea.
Baada ya siku mbili atajinyonga au atakimbilia kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] , haki ya nani jf watu mna roho ngumuHakuna adhabu kubwa kama kumnyamazia mtu ili hali anajua unajua anachokifanya.
Ningekuwa mimi, ningemwambia kwa upole kabisa kuwa "Nimefahamu kuwa unatembea na flani" halafu unamuonyesha naushahdi then humgombeshi wala kumkaripia unapotezea kabisa kana kwamba hujui kinachoendelea.
Baada ya siku mbili atajinyonga au atakimbilia kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah hii kali kuliko....ya kimafia zaidiJamaa yangu aligundua mkewe amemsaliti jamaa kawa mpole na kumuuliza taratibu bila ugomvi mkewe hivi huyo mwanaume uliyetembea nae kukupa nini? Mkewe akajibu kwamba kupewa sha. Elf 10 jamaa kamwambia ulete hiyo hela mkewe kuleta noti ya mwekundu jamaa kuifunga na kamba ikawa inaning'ingia juu ya kitanda jamaa kasisitiza mkewe asiitoe mkewe kila akilala anaiona tiu ile noti na jamaa wala huoneshi kukasirika baada ya kupita siku mbili mke alitoroka kwa jamaa akaenda kwao jamaa hakulaza damu akamfuata kwao mkewe akawambia wakwe anamtaka mke wake warudi nyumbani hakuna tatizo lakini mkewe aligoma kabisa kurudi mwisho alitorokampaka kwao
Hakuna adhabu kubwa kama kumnyamazia mtu ili hali anajua unajua anachokifanya.