Kwa lugha ipi wakati ngeli imempiga chengaNaangalia Straight Talk Afrika kupitia Star Tv naona viongozi mbali mbali wakikaririwa, akiwemo rais wa Zambia kwa upande wa Afrika. Nimetamani sana kumuona JPM akitiririka pale mbele ya viongozi mbali mbali wa dunia akiwemo rais wa USA Donald Trump. Kwakweli huo ndio ungekuwa uwanja wa yeye kujitambulisha kidunia na kuitangaza Tanzania. Hapo ndipo angechomekea definition ya Catalyst ili akina Trump wamtambue kuwa yeye ni Dr. mwanasayansi wa kusomea na siyo wa kupewa. Nategemea kikao kijacho atakwenda yeye mwenyewe in person badala ya kila mara kuwakilishwa na waziri wa mambo ya nje Mahiga au makamu wake Samia.
Anaongea kiswahili cha wanyarwandaRaisi ajifunze tu Kiswahili kwa fasaha huko kwenye kiingereza sina hata cha kusema anashindwa hata na mtoto mdogo wa nursery school wa KG II wakati mwingine akiongea kama upo na familia yako kama mzazi mpaka unaona aibu mtanzania gani hajui kuongea lugha hata moja kiufasaha si Kiswahili wala kingereza aibu tupu kwa jinsi anavyoongea wengi wetu wa daraja la kati tunamuona raisi kama vile sio mtanzania mwenzetu bora hata kiswahili cha Mseven ni kizuri kuliko huyu wetu.
Naangalia Straight Talk Afrika kupitia Star Tv naona viongozi mbali mbali wakikaririwa, akiwemo rais wa Zambia kwa upande wa Afrika. Nimetamani sana kumuona JPM akitiririka pale mbele ya viongozi mbali mbali wa dunia akiwemo rais wa USA Donald Trump. Kwakweli huo ndio ungekuwa uwanja wa yeye kujitambulisha kidunia na kuitangaza Tanzania. Hapo ndipo angechomekea definition ya Catalyst ili akina Trump wamtambue kuwa yeye ni Dr. mwanasayansi wa kusomea na siyo wa kupewa. Nategemea kikao kijacho atakwenda yeye mwenyewe in person badala ya kila mara kuwakilishwa na waziri wa mambo ya nje Mahiga au makamu wake Samia.
Sehemu ya great thinker kwenye hii mada ni ndogo sana. JK aliitwa Vasco Da Gama kwa sababu ya mambo hayo hayo ya UN.
HahahahahaTrump....ntarara na wewe mbere
Mkuu Nzi, akianza kwenda huko nje humu JF wataibuka watu na kuanza kukosoa. Unapokuwa na mtu kama mzee Mahiga kwenye wizara ya mambo ya nje maana yake uzoefu wake unapaswa kuonekana ukifanya kazi.Kilicholalamika ni extremity ya safari zake, nyingi zikiwa hazimhitaji yeye kwenda. Kinacholalamikiwa sasa ni extremity ya kutokwenda kabisa hata kwenye safari ambazo Head of State ni muhimu kuudhuria.
Kufanya kwa kiasi ndiyo inapendeza.
Kigugumizi kitamuandamaNaangalia Straight Talk Afrika kupitia Star Tv naona viongozi mbali mbali wakikaririwa, akiwemo rais wa Zambia kwa upande wa Afrika. Nimetamani sana kumuona JPM akitiririka pale mbele ya viongozi mbali mbali wa dunia akiwemo rais wa USA Donald Trump. Kwakweli huo ndio ungekuwa uwanja wa yeye kujitambulisha kidunia na kuitangaza Tanzania. Hapo ndipo angechomekea definition ya Catalyst ili akina Trump wamtambue kuwa yeye ni Dr. mwanasayansi wa kusomea na siyo wa kupewa. Nategemea kikao kijacho atakwenda yeye mwenyewe in person badala ya kila mara kuwakilishwa na waziri wa mambo ya nje Mahiga au makamu wake Samia.
Mkuu thread kama hizi uwe unawaacha wanatekenyana na kucheka wenyewe..,baada ya kukosa sera na ishu za muhimu za kukosoa wameanza kuokoteza hoja zisizo na vichwa wala miguu.Ila kiukweli wameshikwa pabaya zamu hii.Mkuu Nzi, akianza kwenda huko nje humu JF wataibuka watu na kuanza kukosoa. Unapokuwa na mtu kama mzee Mahiga kwenye wizara ya mambo ya nje maana yake uzoefu wake unapaswa kuonekana ukifanya kazi.
Hao watu wa diplomasia waliojaa foreign affairs kazi yao ni nini haswa?. Mabalozi wanafanya kazi nzuri tu. Juzi kaonekana yule Brazil akiwa kazini.
Hahahaaa,ila wasukuma ni washamba sijapata kuona,huyu ndio mshamba kwelikweliAtaongea kisukuma au!!!? Msimchokoze mzee wa KUTREP na FENT FOD
Mkuu Nzi, akianza kwenda huko nje humu JF wataibuka watu na kuanza kukosoa. Unapokuwa na mtu kama mzee Mahiga kwenye wizara ya mambo ya nje maana yake uzoefu wake unapaswa kuonekana ukifanya kazi.
Hao watu wa diplomasia waliojaa foreign affairs kazi yao ni nini haswa?. Mabalozi wanafanya kazi nzuri tu. Juzi kaonekana yule Brazil akiwa kazini.
Tulioko nje ya mipaka ya nchi tunafahamu thamani ya Rais wetu Magufuli, ni kiongozi bora zaidi kutokea katika Afrika baada ya viongozi wa kweli waliopigania uhuru, huyu anapigania uhuru dhidi ya ukoloni mambo leo - Neo Colonialism; Kuna watu bado wanawaza uhuru wa bendera, Rais huyu na wenye akili wanawaza kupigania uhuru wa kiuchumi dhidi ya madhalimu na wafuasi wao
Halaf kuna kitu bado sijaelewa hiv na mawazir au viongoz wengine wamepigwa marufu kuongea kiingereza wanapokuwa kwenye washa/semina/mikutano ya kimataifa hasa inayofanyika hapa nchini, siwaoni mawazir wake wakitema yai, au wamehamua kupendezesha mkulu.Raisi ajifunze tu Kiswahili kwa fasaha huko kwenye kiingereza sina hata cha kusema anashindwa hata na mtoto mdogo wa nursery school wa KG II wakati mwingine akiongea kama upo na familia yako kama mzazi mpaka unaona aibu mtanzania gani hajui kuongea lugha hata moja kiufasaha si Kiswahili wala kingereza aibu tupu kwa jinsi anavyoongea wengi wetu wa daraja la kati tunamuona raisi kama vile sio mtanzania mwenzetu bora hata kiswahili cha Mseven ni kizuri kuliko huyu wetu.
Hivi Omar Al Bashir anahudhuriaga nae? Naomba kujuaHawaendagi Marais wa ovyo huko. Only smart figures who can pinpoint and address logical issues that hit the globe