Recent content by Apple34

  1. Apple34

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Shinyanga Tinde (Tinde girls high school) shule iko barabaran janction ya kwenda Kahama/Mwz mazingira mazuri sana mf. Nyumba nzuri bure.....nije Mbeya jiji. 0753418011
  2. Apple34

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo shinyanga Tinde (Tinde girls high school) idara secondari shule iko barabaran janction ya kwenda kahama/mwz mazingira mazuri sana mf.nyumba nzuri bure...nije Mbeya jiji
  3. Apple34

    JamiiForums Tanzania Moshi: Yaliyojiri Mei Mosi 2017, Rais Magufuli amwaga ajira Elfu 52, madaraja kupanda....

    Huyu mtangazaji mbona simuelewi...anasoma mabanko alafu anayatolea majibu mwenyewe....sijui Raisi atajibu nn
  4. Apple34

    JamiiForums Tanzania Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  5. Apple34

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Da....hata mm hilo swala limenikumba ukipeleka barua halmashauri wanasema uhamisho umesitishwa mpaka utakapotangazwa but barua sijaona hizo. Ukweli sijui ni upi
  6. Apple34

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako: Kiama kinakuja wanaotumia vyeti feki makazini

    Kama umeisha atwambie aise...kafungia uhamisho, watu kwenda masomon, kafunga kupanda madaraja, kafungia ajira n.k. Watu wagonjwa wanateseka ili wakae karibu hosptal na ndugu zao pia, wengine wakae karibu wake zao/waume zao. Sasa huu uhakiki umeisha au bado unaendelea? Na kama unaendelea mbona...
  7. Apple34

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) imeanza rasmi kukata 15% kwenye mshahara

    Kupandishwa mshahara hamna, basi hata increment tu ya kila mwaka hamna, kupanda daraja ndo vile, basi hata uhamisho tu mwlm kapata furusa sehem ajikwamue kimaisha uhamisho umefungwa, haya leo tena umekapunguza hako kamshahara...hapo ndipo utakapokumbuka kuwa maharage si mboga bali nikiungo cha kande
  8. Apple34

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tubadilike, tenda utendewe!

    Hahaa...kwa ugum wa maisha haya ni ngum kukumbuka hayo yote
  9. Apple34

    JamiiForums Tanzania CCM inawapoteza wafuasi, itazidi kubomoka zaidi hadi kufikia 2020

    Hali ya uchumi ni mbaya vijijn watu wanateseka na hali ngum, ajira kwa vijana kizungumkuti mkulu yuko busy na mahakama....ngoja twendelee kumsubr mzee wamatukio
  10. Apple34

    JamiiForums Tanzania List of Best / Top Romantic/ Valentine's day Songs

    Nice
  11. Apple34

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Duuuu
  12. Apple34

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji awasili Polisi kituo cha Kati kuitikia wito wa RC Makonda

    Mmmmh...hii balaa
  13. Apple34

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, apata dhamana

    Yetu macho
Back
Top Bottom