Naona Mh. Waziri Nchimbi na maafisa wake bado ni vipofu hawakuelewa alichowaambia Mh. Tundu Lissu (Mb). Hata waiite kwa jina gani sijui, "Tume", "Kamati" etc. tatizo ni kinachochunguza; MAUAJI. Wanayo mamlaka yoyote kisheria??! HAKUNA!Hivyo haitusaidii kwa namna yoyote ile zaidi ya kuwa ni...
What if these names would have been that of your close relatives or yourself ( when you went for consultation to Dr X ) on the news paper, JF etc?! Would it be the same to you? You are misusing your position (authority by vartue of your profession) to give out patients records without their...
Ujio mwingi wa wanachama wa CCM usije ukatusahaulisha malengo na wajibu wa CDM kwa wananchi. Wanaweza wakaja kwa wingi na kupanda mbegu ya maangamizi ndani ya CDM (Never underestimate CCM this is the reality). Ni kweli kuwa kati yao wapo ambao wana moyo wa dhati kuleta mabadiliko na wamechoshwa...
Sikio la kufa halisikii dawa. TBC mnakera, mnatia kinyaa na mmekubali kutumiwa na mnatumika kwelikweli. Tunasubiria kifo chako TBC ambacho kiko kwenye karibu.
I wish you would have stopped calling us so Bro!!!! They made some of us believe so and we go on "proudly" calling ourselves so!!!!
All in all it is too late for Wassira and Company to bring back the rubbish (constitution review bill) they had presented, for they have now got to abide by the...
Ninakumbuka zamani kidogo ndani ya UVCCM niliambiwa kuwa kuna prapaganda nyeusi (uongo kwa 100%), kijivu (mchanganyiko wa ukweli na uongo, 50% kwa 50%) na nyeupe (ukweli tupu). Kwa jinsi ilivyotangazwa kwenye TV hii ni propaganda nyeusi. Kama CCM bado tunaamini kuwa propaganda nyeusi za kuchafua...
Mkulu William, thank you so much for this note to our newly elected/appointed leaders, it is my (our) hope that they will live to observe the points that you have mentioned above and some other which are very critical to the renewal of our party (CCM). I salute you and I am sure we will live to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.