Omg its ma birthday!!!

zji7nb.jpg





Happy birthday to Maria
Happy birthday dear Mariaaaaa
Happy birthday to meeeeeee


Karibuni kuimba na kusherekea nami wapendwa:msela::msela::msela::msela::msela:

unamiaka mingapi?
 
Happy Birthday dada! (Moment silence) jiulize wewe leo una umri wa kutosha? Umempa nini mungu ili ufike hapo ulipo? hakuna, ni wangapi walilia kufika umri wako lakini hawakufika (wako wengi sana), Sifa na utukufu mpe yeye, ni mwaminifu, kila unachoomba utapewa. Mfanye kuwa kiongozi wa maisha yako, usiache neno lake hata moja.

Nakutakia kila la kheri! Mungu akupe kila lililo jema, akupe macho ya IMANI ukapate kuona mbali, yaliyo mema tu.
 
Happy Birthday to you...
Happy Birthday to you...
Happy Birthday Maria Roza...
Happy Birthday to you...

Have a great day....
 
MR....sijui nikakupie hepi besidei kule chumbani?
Happy birthday MR.....zidi kuchanua...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom