Recent content by Ansah Miles

  1. Ansah Miles

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wakuu Naomba wimbo wa Nasma Hamisi Kidogoo Uitwao Mambo iko huku Shukrani
  2. Ansah Miles

    Ushauri: Baada ya miaka 5 bila kuajiriwa, hatimaye nimepewa mkataba

    Na kwa miaka hiyo mitano pensheni yako ikizungatiwa Au ndio mlikuwa hamtambuliki na ushapoteza mafao hayo kwa miaka mitano
  3. Ansah Miles

    Hivi nikimkung'uta mangumi huyu binti, nitakua namuonea?

    Girl hapigwi matendo tu Keshatambua una Malaya safi Kupika hataki safi Naye hajaolewa safi kabisa Chukua huyo malaya anayezua ugomvi nenda naye kwako Mpe sado ya viazi na kuku mzima Achinje na aandae msosi Then Rudi hapa tupe mrejesho Mnyooshe tu huyo kwa matendo
  4. Ansah Miles

    Nakukumbusha tu mwanaume mwenzangu

    Wengine kuhonga ni addiction Utaishi vipi sasa
  5. Ansah Miles

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Salamu wakubwa Gari yangu Toyota kluger inawaka taa hii na kuzima kila baada ya muda Tatizo ni nini au inaashiria shida gani Asante wakuu Ni alama kama hiyo namba 62
  6. Ansah Miles

    Faida za lozi Almond

    Nashukuru kwa kutuletea faida ya Almonds
  7. Ansah Miles

    NBA 2016/2017 Season Special Thread

    Shukrani mkuu
  8. Ansah Miles

    NBA 2016/2017 Season Special Thread

    Hii game inaonyeshwa thru channel gani King'amuzi kipi
  9. Ansah Miles

    Tunauza sola za kisasa

    Mkuu naweza kupata solar water heater na je tank la lita 150 au 200 ni Tshs ngapi Shukrani nikipata maelezo ya kina
  10. Ansah Miles

    Karibu Umeme wa Back-up na Solar

    Je katika huduma zenu naweza pata solar water heater, Je tank la 100 litre au 150 litre ni Tsh ngapi
  11. Ansah Miles

    Pasha zaidi ya lita 100 kwa wakati mmoja - na maji hukaa siku tatu!

    Aisee bado hizi solar water heater mnazo
  12. Ansah Miles

    UTEUZI: Catherine Ruge(CHADEMA) ateuliwa kumrithi Dr. Macha(aliyefariki), Ubunge Viti Maalum

    Wasifu wa mbunge Catherine Nyakao RUGE Bi. Catherine Nyakao Ruge ni mwanaharakati wa masuala ya kijamii anayepinga mila kandamizi na kutetea haki za watoto wa kike na kina mama. Amekuwa akitetea haki za watoto wa kike dhidi ya ndoa za utotoni, ukeketaji, ukatili dhidi ya wanawake na ubaguzi...
  13. Ansah Miles

    UTEUZI: Catherine Ruge(CHADEMA) ateuliwa kumrithi Dr. Macha(aliyefariki), Ubunge Viti Maalum

    Sio mhaya huyu Mtu wa Musoma Kabila Mongoreme kutoka serengeti Mara
  14. Ansah Miles

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nenda Duka la kisangani pale msimbazi Mimi nilinunua pale ya IST ya mwaka 2005 Ilikuwa mwaka juzi 2015 kwa tshs 480,000/= Jaribu mkuu
Back
Top Bottom