Snl solar Ltd Inakupatia Huduma bora na za kisasa na zenye uhakika wa kukupatia umeme muda wote.
1.TUNAFUNGA BACKUP ZA UMEME maofisini, majumbani na kwenye miradi mbalimbali ya uchumi mfano ufugaji etc
Backup system ni umeme wa uhakika kwa wewe mteja wa tanesco
kwani tanesco inapokata automatically unaendelea kupata umeme bila
kitu chochote kuzima.
2. SOLAR POWER SYSTEM, kwa mteja ambae uhitaji kuingia gharama za luku basi solar power system ni suruhisho tosha
kwani SNL SOLAR LTD inakupatia solar na system bora za kisasa itakayokuwezesha kupata
umeme wa kutosha muda wote.
PIA kwa mteja yeyote ambae tayari amekwisha fungiwa system na anasumbuliwa basi SNL SOLAR LTD inatoa ushauri wa BURE wa kukuboreshea system yako.
OFISI ZETU ZIPO KINONDONI VIJANA
WASILIANA NASI 0762246488/0714373488
UKURASA WETU WA FACEBOOK:
www.facebook.com/snlsolarltd
INSTAGRAM @snlsolarltd
