Recent content by ANoblePerson

  1. A

    JamiiForums Tanzania Fulbright foreign student program

    Habari wanajamvi, Kama heading ilivyo, naomba kwa wenye uzoefu na scholarship hii wanisaidie ufafanuzi wa kina kwa maeneo yafuatayo; 1. Nini huangaliwa zaidi mpaka mwombaji kuwa shortlisted 2. Makadirio ya idadi ya waombaji kwa Tanzania, na huwa wanapata wangapi kwa makadirio ya kila mwaka? 3...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Scholarship za Japan MEXT: Waafrika tunafelishana wenyewe

    Daaaaaah, wengine tunazililia, wengine mnazipata kiurahisi tu. Any ways naomba msaada wako Mkuu Nina nia kweli lakini mambo bado.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Chuo hiki kina utaratibu wa kuwachukua graduate flani. Wanajifanya wanajitolea then wanatoa nafasi za kazi. Picha linaanza yule anayejitolea kwao ana 95 the rest sasa😂😂😂 Lakini Kuna muda wanapenya wengine hasa kwa programs ambazo ndiyo kwanza wanazinanzisha.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mwaka ambao division 4 ilienda mpaka 37🖐️🖐️
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ujenzi wenyewe unategemea nguvu za wananchi au shirika Then serikali wanakuja kumalizia,😂😂
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Njoo huku halmashauri uone hizo site kwanza maana😂😂
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Za kwenda wapi
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    TGS E 1,000,000.00 basically Allowance kwa mbiiiiiindeeee
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Namba na email zipo lakin ukipiga au ukiwa email hawajibu kwa wakat
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ahsante, lakini ametuma Leo siku ya nne hawajajibu
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hawapokeagi hii namb
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wasakatonge naombeni namba ya utumishi inayopatikana kwa mtu mwenye changamoto ya kutokuwa shortlisted na wakati kila kitu kipo sawa.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Na ikumbukwe kwamba walisema wataanza kuchukua database. So wakimaliza database ndipo watatangaza nafasi zilizosalia. Ni hayo tu🥴
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ndiyo Mkuu, ndiyo zimo kwenye hizo 45,000 😂😂
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mbona zinatoka kila siku 1 Watunza kumbukumbu 2 madereva 3 Waandishi waendesha ofisi
Back
Top Bottom