ANoblePerson
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 492
- 745
Za kwenda wapiPer diem zinakuwepo za kutosha
Za kwenda wapiPer diem zinakuwepo za kutosha
Hahahaha Mkuu siwezi kula 😂Ila usije kula hela ya Transporter, utafungwaa😎
Pamoja mzeeAfisa Mzani Daraja II TANROADS
Apply Mzee ikitiki, hutojutaaa..
Hahaha kabisa mkuuOmba mkuu utajua uko uko mbele ya safari
Safar za site nkZa kwenda wapi
Njoo huku halmashauri uone hizo site kwanza maana😂😂Safar za site nk
Aje a sign sitebook kwa Mkuu wa shule ujenzi wa madarasa, ZahanatiNjoo huku halmashauri uone hizo site kwanza maana😂😂
Njoo ukodiwe boda na Mwalimu wa ManunuziSafar za site nk
😅😅😅😅🤣🤣🤣hatariNjoo huku halmashauri uone hizo site kwanza maana😂😂
Ujenzi wenyewe unategemea nguvu za wananchi au shirikaAje a sign sitebook kwa Mkuu wa shule ujenzi wa madarasa, Zahanati
Mapema asubuhi Watu wanalamba Asali😁Leo Utumishi wamecharuka PDF zinamwagwa watu wanalambishwa asali
Za kutoshaLeo Utumishi wamecharuka PDF zinamwagwa watu wanalambishwa asali
Ukisikia unalala jobless unaamka mtumishi wa umma ndo hii 😅😅Mapema asubuhi Watu wanalamba Asali😁
Waendelee na mwendo huu huu nasi tufikiweZa kutosha
Hatari mkuu ngoja na sisi wengin tusubrie majina yetuUkisikia unalala jobless unaamka mtumishi wa umma ndo hii 😅😅
Hongera sana mkuu ukawe mtumishi mwemaWakuu, Nimelamba asali.
Kama hadi mimi nimepata, amini na wewe pia utapata tu. Kwasababu kwenye ile oral hata sikumbuki vizuri maswali nloulizwa (Honestly).
Hii thread ni "Devinely Inspired." Abarikiwe alieianzisha.