Hongera sana.Huwa sioni shuhuda za CLINICAL OFFICERS, NURSE, TEACHERS. Jamani pdf zinamwagika tu na hao wadau shuhuda hazipo?
Tunawakaribisha katika Utumishi wa Umma, tunatarajia mtafanya kazi kwa weledi, huku mkitanguliza uzalendo. Watanzania wana matarajio makubwa katika utumishi wenu.