Watu walivyo na hasira usishangae watu 300 wakapiga 100 woteee Alfabet mbaya ya jina ikakucost tena 😂😂😂Apo cha kufanya ni omba mizimu yote ya kwenu upate 100 tuone watkuacha kwa kigezo gn🤣🤣
Watu walivyo na hasira usishangae watu 300 wakapiga 100 woteee Alfabet mbaya ya jina ikakucost tena 😂😂😂Apo cha kufanya ni omba mizimu yote ya kwenu upate 100 tuone watkuacha kwa kigezo gn🤣🤣
Bora ase ili watu wakapate mkatejamaa wanazishusha kama mvua
WagaNdo wameanza hivoo, kesho.zingine watatoa
Kweli kabisa mkuuHuu mwezi nasi tutakumbukwa
+255262160350 Wacheki umo japo kupokea ni kipengereWasakatonge naombeni namba ya utumishi inayopatikana kwa mtu mwenye changamoto ya kutokuwa shortlisted na wakati kila kitu kipo sawa.
Wasipo pokea wa email wanajibu harakaWasakatonge naombeni namba ya utumishi inayopatikana kwa mtu mwenye changamoto ya kutokuwa shortlisted na wakati kila kitu kipo sawa.
(ict@ajira.go.tz )email hiyo mimi ilishawahi tokea ndani ya siku 2 walinijibuWasakatonge naombeni namba ya utumishi inayopatikana kwa mtu mwenye changamoto ya kutokuwa shortlisted na wakati kila kitu kipo sawa.
Hawapokeagi hii namb+255262160350 Wacheki umo japo kupokea ni kipengere
Ahsante, lakini ametuma Leo siku ya nne hawajajibu(ict@ajira.go.tz )email hiyo mimi ilishawahi tokea ndani ya siku 2 walinijibu
Mi jiana langu linaanza na Z😞Watu walivyo na hasira usishangae watu 300 wakapiga 100 woteee Alfabet mbaya ya jina ikakucost tena 😂😂😂
Utumishi hawana kitengo cha mawasiluano au tupande bus?!Ahsante, lakini ametuma Leo siku ya nne hawajajibu
Hee wanaangaliaga na alfabet tenaaa🤣🤣🤣Watu walivyo na hasira usishangae watu 300 wakapiga 100 woteee Alfabet mbaya ya jina ikakucost tena 😂😂😂
Namba na email zipo lakin ukipiga au ukiwa email hawajibu kwa wakatUtumishi hawana kitengo cha mawasiluano au tupande bus?!
Serikalini uhuru umezidiNamba na email zipo lakin ukipiga au ukiwa email hawajibu kwa wakat
Ngoja tuusubirieKuna PDF mbili uko leteni ushuhuda..🚨🚨
Hizi za leo sio za kichoyo sanaKuna PDF mbili uko leteni ushuhuda..🚨🚨
Tunasubir la walofanya usaili kuanzia mwez wa 5Kuna PDF mbili uko leteni ushuhuda..🚨🚨
Wengi tunasubir izo vip We mkuu ulifanya usaili tareh ngap?Tunasubir la walofanya usaili kuanzia mwez wa 5