HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Guys... jana nilifanya written interview kada ya Tutorial Assistant (Marketing) pale Mzumbe itoshe kusema sitaomba tena nafasi chuo kikitangaza nafasi bora niombe wakitangaza utumishi wenyewe 😄
Kwanini unasema hivyo mkuu?
 
Guys... jana nilifanya written interview kada ya Tutorial Assistant (Marketing) pale Mzumbe itoshe kusema sitaomba tena nafasi chuo kikitangaza nafasi bora niombe wakitangaza utumishi wenyewe 😄
lile chujio si lakitoto kila kada nilikua naona wanachomoka watatu watatu
 
Hata kama hujui statistics utagundua tu hi abnormal variation ya data za matokeo, angalia namna ambavo top performers walivyo deviate from average score.... hapa ndo utagundua kuwa kulikuwa na home advantage kwa wanafunzi wa Mzumbe
 
Attachments

  • Screenshot_20250902-205156_Gallery.jpg
    Screenshot_20250902-205156_Gallery.jpg
    341.7 KB · Views: 29
Bora hii maumivu ni ya muda flan badae unapotezea, kuliko Selected for Oral halafu jina kila siku hulioni
Maajina yakishatoka yametoka km walitaka watu 5 wakawa wametoa watu 5 imetoka hio haupo haupo subiri wakati mwingine au fanya mambo mengine usirudie tena kuomba maana utaendelea kujisumbua unaishia oral tu hufiki popote
 
Guys... jana nilifanya written interview kada ya Tutorial Assistant (Marketing) pale Mzumbe itoshe kusema sitaomba tena nafasi chuo kikitangaza nafasi bora niombe wakitangaza utumishi wenyewe 😄
Chuo hiki kina utaratibu wa kuwachukua graduate flani. Wanajifanya wanajitolea then wanatoa nafasi za kazi.
Picha linaanza yule anayejitolea kwao ana 95 the rest sasa😂😂😂
Lakini Kuna muda wanapenya wengine hasa kwa programs ambazo ndiyo kwanza wanazinanzisha.
 
Maajina yakishatoka yametoka km walitaka watu 5 wakawa wametoa watu 5 imetoka hio haupo haupo subiri wakati mwingine au fanya mambo mengine usirudie tena kuomba maana utaendelea kujisumbua unaishia oral tu hufiki popote
Wewe unaongea hivo kama nani mkuu, Utumishi au Samia? Maana nijuavo mimi hata kama sio mara zote, wanaweza tangaza 5 wakaita 5 na bado wakaendelea kuita zaidi ya hao sometimes.

Sent from my SM-G9280 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom