Mimi ni mdada Nina miaka 27 niliolewa nikiwa na miaka 25 huyu mume wangu tulikutana kwa muda mfupi sikumjua sana wazazi walikataa wakaniambia atanisumbua lakin mimi nililazimisha mpaka tukafunga ndoa kanisani niliyoyaona nilikimbia mwenyewe sikuzaa Naye nashukuru wazazi wamenisamehe...
Nahisi maisha yanawavuruga sanaaa.yaani Leo kwenye daladala kuna kaka huyo alikuwa anaongea ukiangalia meno unabaki na maswali halafu alikuwa amevaa shati ya makwapa wazi ni majasho tu yanamtokaa manywele yamemjaa hadi muda wa kunyoa hana maskini ama kweli uanaume kazii..
Habari wanajamii,
Nomba mumshauri dada yangu, aliolewa mapema alipomaliza tu chuo lakini wazazi hawakupenda yeye akalazimisha wakamfanyia tu sherehe ndogo wakafunga ndoa kanisani, wazazi hawakupenda familia walimkataza hakusikia,.
Sasa ameingia kwenye hii familia hii sio familia ya kuishi hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.