Kwanini wanaume wengi wa Tanzania hawapigi mswaki?

Kwanini wanaume wengi wa Tanzania hawapigi mswaki?

Kunazo babu zinazofanya meno kutokuwa meupe MF uvutaji wa sigara,unywaji wa maji yenye magadi,aina za vyakula vyenye cabonet nyingi na sukar nyingi MF chocolate... Pia kutopiga mswaki kunachangia....Ila pia hakuna mtu mwenye meno meupe pee....
 
Kwanini Wanaume wengi wa Tanzania hawapgi mswaki mpaka meno yao yanakuwa ya njano, halafu yanakuwa meusi.

Kwanini meno yao sio meupe?
Cause anatoka job jion,akishuka stand anachepukia Pub hapo mpaka SAA 8 akifika home SAA 9 ,anaoga akimaliza SAA 10 ,anampa wife chakula chake akimaliza SAA 11 .12 alarm inaita utapiga mswaki SAA ngap zaidi ya kubrash but nakuanza Siku mpya
 
Nahisi maisha yanawavuruga sanaaa.yaani Leo kwenye daladala kuna kaka huyo alikuwa anaongea ukiangalia meno unabaki na maswali halafu alikuwa amevaa shati ya makwapa wazi ni majasho tu yanamtokaa manywele yamemjaa hadi muda wa kunyoa hana maskini ama kweli uanaume kazii..
 
umeona hali hiyo kutoka kwa wanaume wangapi toka uanze kukung'utwa nao??
 
Mada yako ni nzuri hii sio kwa wanaume tu,

Suala la usafi wa kinywa ni la jinsia zote,

Panda usafiri wa watu wengi kama Treni,Dala dala ,

Utakutana na adha za namna hiyo wengine vikwapa ,wengine vinywa,

Mbaya zaidi ata hawa makonda zile sare zao hawazifanyii usafi ni kero sana kwa abiria.
 
Back
Top Bottom