Recent content by Ankopimbi

  1. Ankopimbi

    JamiiForums Tanzania Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Sio Sio lazima kucertify ndo maana wakiajiriwa wanaambiwa waende na vyeti original
  2. Ankopimbi

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hasapoti juhudi zangu. Ananikatisha tamaa sana

    H Hah hah hah dah haya Mambo bana
  3. Ankopimbi

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hasapoti juhudi zangu. Ananikatisha tamaa sana

    Pole sn bro .. Ni vyema umetambua Hilo mapema Sasa fanya Mambo yako kimyakimya Hawa wanawake wakati mwingine akili zao wanazijua wenyewe....Hawa wake zetu wakati mwingine lazima tutumie ubabe ili Mambo yaende
  4. Ankopimbi

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi toka NMB Bank: Hatutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu

    Anzeni na management yenu rushwa ya ngono na undugu vimetawala kwenye ajira zenu so mnategemea hao staff watakuwa na huduma nzuri? Chunguzeni ma hr wenu kwanza
  5. Ankopimbi

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mbona umechangia uharo kabisa? Kwa beki gani ya arsenal uliyonayo Hadi useme hivyo? Huo ushabiki mandazi kabisa
  6. Ankopimbi

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ww Wanaume tunakwama Sana hivi unakutana na demu siku hyo hyo unakula tunda then unaamua kumuoa kabisa..hayo ndio matokeo yake na huenda hata mimba hakupata alikuchezea tu
  7. Ankopimbi

    JamiiForums Tanzania Je, ushawahi kuwa na show mbovu kwenye mapenzi?

    Mkuu ungeoga ungetoa uchovu wa safari then ungejilia zako tunda taratiibu na hiyo fedheha ya show mbovu kabisa isingekukuta..
  8. Ankopimbi

    JamiiForums Tanzania Je, ushawahi kuwa na show mbovu kwenye mapenzi?

    Katika stori yako hakuna sehemu umesema Kama ulioga..yaani unasafiri dodoma to dar afu unagegeda bila kuoga? Pili kwanini hutandiki kitanda unapoamka?
  9. Ankopimbi

    JamiiForums Tanzania Historia|Wasifu: Je, Benjamin William Mkapa ni nani hasa?

    Binafsi naona jamaa alikuwa na exposure kubwa sn...Cv yake inajieleza pia nadhani Mwl Nyerere alimuandaa Ben kuwa rais kwa mda mrefu sn baada ya kuona uwezo wake
  10. Ankopimbi

    JamiiForums Tanzania Nimetembea na wanawake 29 ndani ya mwaka mmoja

    Faida ulizopata haswa Ni zipi kumzidi aliyegegeda demu Moja? Ukapime ngoma ulete majibu hapa
  11. Ankopimbi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hii vita mimi na Wife

    Hili nalo la kuomba ushauri?
  12. Ankopimbi

    JamiiForums Tanzania Simuelewi mke wangu

    Pole Sana kiongozi..inabidi usimame Kama mwanaume kwenye hili swala otherwise mkeo atakusumbua Sana..huna sababu ya kujishusha kwenye hili eti sijui outing sijui nini, hiyo Ni big no..Kama kuna kitu alikwazika kwako Sasa anashindwa kukwambia? Bro unyumba Ni haki yako hata kwenye mafundisho ya...
  13. Ankopimbi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtaalamu/Mganga wa jadi

    Mganga yupo ila anaua mashine jogoo anakuwa hapandi mtungi na unatajirika je upo tayari?
Back
Top Bottom