Nahitaji mtaalamu/Mganga wa jadi

Kwahiyo unataka kumnyima kazi mshana? Mbona tuna mganga humu Jf hatozi hela nyingi, kuku wa blue tu,.unarudi tajiriiiiiii
 
Wakuu habari za jioni, bila shaka hapa JF hitaji langu linaweza tatuliwa. Nimekuja kuomba kuelekezwa niwapi nitampata mgaga mtaalamu wa ndagu za machimboni.

Nahitaji msaada wenu kwa yeyote anayejua mganga mwenye uwezo wa kunitimizia hitaji langu nahitaji kwenda machimboni, kutafuta pesa ya maisha kupitia ndagu za machimboni. Naomba mwenye kujua wapi naweza timiza lengo langu njoo PM kwa mawasiliano zaidi unipe muongozo maisha ni kujilipua jamani.

Tafadhali kila MTU na Iman yake kama iman hii haikuhusu pita kimya ila kwa wajuzi wa mambo haya karibuni nahitaji msaada wenu

Kama upo serious njoo PM sisi hatushindwi
 
Mganga yupo ila anaua mashine jogoo anakuwa hapandi mtungi na unatajirika je upo tayari?
 
We alikupa mkuu?
kuna jamaa yangu ana hela ya ndagu nae anakaa kwenye bonge la golofa ila anapikia kuni kwake alafu anakaa na mambuzi humo ndani ila jamaa ana hela balaa ukimuomba hata milioni 100 anakupa tu
 
Nenda makambako kuna sehem inaitwa isoliwaya Apo kuna Bibi kiboko mashart ake hakuna kutoka nje ya ndoa mengne siyajui

Nenda pia iringa sehem inaitwa igang dung'u kiponzelo huko kuna mtu anaitwa ziku.....Kila la kher mkuu
Dah inamaana nisitoke nje ya ndoa maisha yangu Yote?
 
Nenda makambako kuna sehem inaitwa isoliwaya Apo kuna Bibi kiboko mashart ake hakuna kutoka nje ya ndoa mengne siyajui

Nenda pia iringa sehem inaitwa igang dung'u kiponzelo huko kuna mtu anaitwa ziku.....Kila la kher mkuu
apo kwenye kutoka nje ya ndoa mtiani mkuu ilo sharti libadilishwe hahahahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom