Mke wangu hasapoti juhudi zangu. Ananikatisha tamaa sana

Hilo tatizo,yaani ubinafsi ni hasara kubwa sana kwenye mahusiano,alafu ukifanikiwa unakuta yeye ndo kimbelembele kujivunia uliyo yafanya na kuji proud kwa jamii iliyo wazunguka.
Ubinafsi mkuu ndo maana me naona bora kuoa ushafanikiwa kimaishaa...lasivyo mwanamke atakusumbua sana
 
Nakubali mkuu unakuwa mda wote unaishi kwa presha na mawazo,mafanikio unaona kwa wenzio tu,mara unaskia tena akilaumu,mbona wewe huendelei kama wenzio
 
Mkuu yani Exactly alafu wanawake wa hivyo wanaongoza kwa mipangooo lakini ukitaka kuitelekeza kwa vitendo anaanza kuleta vikwazoo so me nlikuwa namuangalia tuu kila akinambia plan zake namchora tu ila nikajua huyu sio mwanamke wa kuweka ndanii
 
Sikua najua, kumbe kuwa na mwenza ambaye hasapoti juhudi zako za maendeleo INABOA SANA WAUNGWANA.

Kitu ambacho sikua najua kumbe mke wako pia anaweza kukuonea wivu na kukudhuri kwa husda /kijicho /roho mbaya.

Nimejiskia vibaya leo baada ya kumueleza kwa bashasha mke wangu WAZO langu zuuri hatimae kunilaumu na kuninunia.

Aisee!!!!

Nikamuuliza ' Sasa we unaona tufanyeje hapa?' hakuwa na jibu m badala wala suluhu yoyote. Wosia wake ni kuachana na ishu yangu na kujikalia tuuu.

Wito.
Mke/mume wako anaweza akawa kikwazo Cha maisha na mafanikio yako.

Najua mtapenda kujua ishu yenyewe, lakini naomba mniwie radhi kwa kutoiweka wazi.

Sasa kwa staili hii tutafikia uchumi mkubwa kweli?
Shida unataka kucheza filamu za kibongo zenye maudhui ya kulala na kujifunika shuka moja na warembo! Mke ataachaje kukulaumu na kuweka Kila kizingiti😂🤣😂!
Kila mtu hulinda chake bana ooh🤣😂🤣!
 
Mkuu yani Exactly alafu wanawake wa hivyo wanaongoza kwa mipangooo lakini ukitaka kuitelekeza kwa vitendo anaanza kuleta vikwazoo so me nlikuwa namuangalia tuu kila akinambia plan zake namchora tu ila nikajua huyu sio mwanamke wa kuweka ndanii
Hahaha umenikumbusha kitu,wangu ambaye sasa hivi ana suspension ya mwezi mmoja na nusu bila mawasiliano,aliongea kitu nkasema mama yangu weee,yaani ndo mtu wa kuishi nae maisha yote huyu,yaan akiona mastar instagram wanavo post wanaishi kwenye appartments za high classic nae ananipigia mahesabu anataka akaishi mazingira kama hayo huku kazi hana wala nini.

Nkamchana kuwa wewe unataka upate maji mengi badala uboreshe chanzo cha maji unaenda kuiboresha koki ukidhania maji yatakuwa mengi na yakudum,akaninunia siku tatu mkuu.
 
Sikua najua, kumbe kuwa na mwenza ambaye hasapoti juhudi zako za maendeleo INABOA SANA WAUNGWANA.

Kitu ambacho sikua najua kumbe mke wako pia anaweza kukuonea wivu na kukudhuri kwa husda /kijicho /roho mbaya.

Nimejiskia vibaya leo baada ya kumueleza kwa bashasha mke wangu WAZO langu zuuri hatimae kunilaumu na kuninunia.

Aisee!!!!

Nikamuuliza ' Sasa we unaona tufanyeje hapa?' hakuwa na jibu m badala wala suluhu yoyote. Wosia wake ni kuachana na ishu yangu na kujikalia tuuu.

Wito.
Mke/mume wako anaweza akawa kikwazo Cha maisha na mafanikio yako.

Najua mtapenda kujua ishu yenyewe, lakini naomba mniwie radhi kwa kutoiweka wazi.

Sasa kwa staili hii tutafikia uchumi mkubwa kweli?
Kama ni biashara ya bangi anahaki ya kukununia
 
Huu Uzi umenikumbisha mbali,mwanzoni ndo tumeoana tuna mtoto mmoja,nikapata safari ya kikazi,mtoto alikuwa anumwa,so nkaona nmwachie kadi ya bank na password.

nkajua hata kama atatumia sana haitazidi laki mbili,Baba ndani ya wiki acc ilikombwa yote,akabakiza ten tu ya kufungulia account.

niliporudi mi no mgumu kutoa machozi sana ila yalilengalenga kwa kweli,kumuuliza akasema kuna biashara anataka kuifanya kwa hyo amekopa atarudisha.

nkamchapa Kofi moja hatari,akakimbikia nje hasira akaanza kuvunja vioo na mawe..

maisha haya wakuu yanachekesha kwwli.
 
Kumbe tukiwaoa ndo manajidai kusupport ila kama hujaolewa unahisi utazungukwa au?????

Hili suala ni tatizo sana yani wadada mnakuwa na akili za hivi sijui why...
Umenielewa vibaya I guess
Maana yng ni kwamba ukiwa una_date inawezekana huyo mtu asiwe na malengo nawewe wala asisupport hustles zako lkn mtu akiamua kuolewa naww means amekubali kua ubavu wako so ni ngumu sana kukuonea wivu wa mafanikio.
 
Sikua najua, kumbe kuwa na mwenza ambaye hasapoti juhudi zako za maendeleo INABOA SANA WAUNGWANA.

Kitu ambacho sikua najua kumbe mke wako pia anaweza kukuonea wivu na kukudhuri kwa husda /kijicho /roho mbaya.

Nimejiskia vibaya leo baada ya kumueleza kwa bashasha mke wangu WAZO langu zuuri hatimae kunilaumu na kuninunia.

Aisee!!!!

Nikamuuliza ' Sasa we unaona tufanyeje hapa?' hakuwa na jibu m badala wala suluhu yoyote. Wosia wake ni kuachana na ishu yangu na kujikalia tuuu.

Wito.
Mke/mume wako anaweza akawa kikwazo Cha maisha na mafanikio yako.

Najua mtapenda kujua ishu yenyewe, lakini naomba mniwie radhi kwa kutoiweka wazi.

Sasa kwa staili hii tutafikia uchumi mkubwa kweli?
Pole sn bro .. Ni vyema umetambua Hilo mapema Sasa fanya Mambo yako kimyakimya Hawa wanawake wakati mwingine akili zao wanazijua wenyewe....Hawa wake zetu wakati mwingine lazima tutumie ubabe ili Mambo yaende
 
H
Huu Uzi umenikumbisha mbali,mwanzoni ndo tumeoana tuna mtoto mmoja,nikapata safari ya kikazi,mtoto alikuwa anumwa,so nkaona nmwachie kadi ya bank na password.

nkajua hata kama atatumia sana haitazidi laki mbili,Baba ndani ya wiki acc ilikombwa yote,akabakiza ten tu ya kufungulia account.

niliporudi mi no mgumu kutoa machozi sana ila yalilengalenga kwa kweli,kumuuliza akasema kuna biashara anataka kuifanya kwa hyo amekopa atarudisha.

nkamchapa Kofi moja hatari,akakimbikia nje hasira akaanza kuvunja vioo na mawe..

maisha haya wakuu yanachekesha kwwli.
Hah hah hah dah haya Mambo bana
 
Duuh huyo hata akilii hanaa... sasa anavunja vitu vya familia??? Mamaee bora ingekuwa boyfriend..
 
Umenielewa vibaya I guess
Maana yng ni kwamba ukiwa una_date inawezekana huyo mtu asiwe na malengo nawewe wala asisupport hustles zako lkn mtu akiamua kuolewa naww means amekubali kua ubavu wako so ni ngumu sana kukuonea wivu wa mafanikio.
So ukidate na mtu wewe binafsi unaweza msupport kwenye biashara au mambo yake ya maendelo anayotaka fanya??? Sio kwa maneno tu i mean financial
 
Huu Uzi umenikumbisha mbali,mwanzoni ndo tumeoana tuna mtoto mmoja,nikapata safari ya kikazi,mtoto alikuwa anumwa,so nkaona nmwachie kadi ya bank na password.

nkajua hata kama atatumia sana haitazidi laki mbili,Baba ndani ya wiki acc ilikombwa yote,akabakiza ten tu ya kufungulia account.

niliporudi mi no mgumu kutoa machozi sana ila yalilengalenga kwa kweli,kumuuliza akasema kuna biashara anataka kuifanya kwa hyo amekopa atarudisha.

nkamchapa Kofi moja hatari,akakimbikia nje hasira akaanza kuvunja vioo na mawe..

maisha haya wakuu yanachekesha kwwli.
Duh ulikuwa na moyo mkuu.

Card ya bank unakabidhi kwa wife ,upendo wa agape huo!
 
Ndio unaptakiwa, Ila ukifanywa hivyo walio wengi hawajitambua...anaweza chukua na kuipeleka kwa mchepuko! Ila timiza mahitaji muhimu!
Kama umeishi na wife at least miaka kadhaa na ukamsoma tabia zake sidhani Kama unaweza mkabidhi Kasi ya bank
 
Back
Top Bottom