Kuna tofauti kati ya Jina na dini! Wajinga huambatanisha jina na dini, ila waelevu huambatanisha jina na ushuhuda! Neno Amina maana yake ni Na Iwe hivyo..! Si ma,i ya dini wala dhehebu lolote. Kila mwombaji anamalizia na neno hilo kuonesha imani yake katika yale aliyoyaomba. Tusibebe udiniudini...
Ni hapa eneo la Bunazi Wilaya ya Missenyi, karibu na makao makuu ya Halmashauri ya wilaya ya Missenyi, Mama na mwanae, Mama Amina na Amina wamekutwa wote wamejilaza katika Dimbwi la Maji huku wakiwa wote wameaga Dunia, baada ya kudondoka humo wakiwa katika shughuri za umwagiliaji wa mbogamboga...
Namshukuru Mungu japo nimewashawishi wanafunzi wakachelewa kumwachia, baadae nimefanikiwa kuwasiliana na polisi ili waje waokoe jahazi la kupoteza uhai wa Mtu kwa kitu cha thamani ndogo. kama mtanzania wa kawaida na mwanafunzi wa mabibo ambaye hana boom, kwa sasa na hana nguo, anaamua kuiba kwa...
Nina haki ya kusema kuwa serikali imechoka. hapo bado hatujazungumzia maeneo mengine kama ya Bugango na Bubale katika wilaya ya missenyi mkoani kagera ambako wananchi wanateseka kila siku na mifugo yao kuliwa na wenye mamlaka na huku wafugaji wazalendo wakibambikiziwa kesi kuwa si raia wa...
Tunaomba hii thread ifungwe kwa sababu habari iliyotolewa juu ya kifo cha mwanafunzi huyo si sahihi, japo swala la kupigwa risasi ni la uhakika kabisa. Kama haitafungwa basi aliyepost atupe ukweli kuwa alikosea kwa kuandika habari ambazo hajathibitisha. Sisi kama wanafunzi tunaupenda uhai wa...
Prof. M.Wambari, Chuo kikuu cha Dar es Salaam, ambaye amekuwa akitoa mchango mkubwa katika maendeleo ya sheria tanzania kwa muda mrefu, ni masikitiko makubwa sana kwamba hayuko hai tena. Prof. ametutoka leo 4.04.2013 Baada ya kuwa mgonjwa. Watanzania tumesikitika sana na tumempoteza mtu mhimu...
TUNASONONEKA MWANAFUNZI MWENZETU KAJINYONGA.
Ni ukweli kuwa mnenaji anayenenea sikio lililojiandaa kusikia kabla maneno yaliyonenwa na mnenaji huyo hayajanenwa, ananafasi kubwa ya kueleweka kuliko yule anayenenea wasikilizaji waliojiandaa kwa dmaharula kusikiliza maneno ya mnenaji huyo, lijalo...
nitaangalia safari ya mpaka kieleweke kwani kama ikiongozwa na akili kubwa kuna akili ndogo zinazodhani ni kubwa zitanuna. lakini maji ya bahari hayawezi kutosha kwenye mto.
:rockon:
"dhambi ya ukabila ni kama kula nyama ya mtu". Mwil. Nyerere, Tanzania. Kenya BE WARE!!!!!!! Jaluo Jinga Jeusi haiwezi ongoza Kenya" hii haifai kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.