Ahm bokee leh
Member
- Aug 28, 2013
- 22
- 1
Duu majanger
Wamekata tena
Mbona waliosoma na vijinga vya moto hawaandamani? Au nyie ndio kina nani.
Heheh block G...kama napaona vile...acheni uduwanzi nyie chuo pipo,cha msingi someni mchana..
Ndo yaleyale hata shuttle za hostel walikuwaga wanataka zipewe special favour kwenye folen et kisa wanawahi darasani,WTF....kwani watanzania wenzenu hawana haraka,kwani na wao hawaupendi umeme??
Af wagomaji wengi ni wale wanaotoka sitimbi na mikoani huko,na umeme makwao hamna,..
ni masaa 35 sasa tangu umeme umekatika hapa mabibo hostel, vijana wamekusanyika hapa block G tangu jioni kujadili nini cha kufanya. TANESCO tafadhali msichafue hali ya chuo chetu. Mungu ibariki TANGANYIKA.
baada ya kash kash mnamo saa 00:15 usiku umeme umerudishwa mabibo na wimbo wa taifa unaimbwa ili watu wakasome.
.....
saa 00:32 umeme umekatwa tena na wanafunzi wanaanza kujimobilize upyaaa
........
kama kanyamazongo za movie vile, saa 00:48 wamerudisha tena
nahc kuna wafu humu jf! hv m2 na akili zake analinganisha umuhimu wa umeme kwa secondary na chuo kikuu? anyway, sio kosa lenu. chini ya 20% ya walioanza primary ndio hufanikiwa kufika chuo kikuu!
nahc kuna wafu humu jf! hv m2 na akili zake analinganisha umuhimu wa umeme kwa secondary na chuo kikuu? anyway, sio kosa lenu. chini ya 20% ya walioanza primary ndio hufanikiwa kufika chuo kikuu!
Naungana na wewe mkuu badala ya kutafuta solution wanataka kuandamana na kusababisha more problems wapigwe tu.
we tumia akili unazan dunia ya leo ni ya watu kuishi bila umeme na ukzingatia kuna mitihan kila uchao we ni mpuuzi ndo mana umeandika ujinga kama huu
unanikumbusha wakati wetu tukiwa tunagomea sera mbovu za serikali watu kama akina silinde(mbunge),owawa(CAG pia usaalma wa taifa),nasari(mbunge) badae tukakutana na wasaliti kama akina salum hapi(kibaraka ccm)...wakati tunakaribia kuondoka wakaja akina emekha,francis ndunguru,florian ndunguru ni hawa jamaa ndo waliokuwa mabingwa wa migomo pale chuo kikuu cha Dar es salaam ingawa mwisho wa wengi wao ilipelekea kuondoka ila huko walipo Mungu awalinde ili waendeleze yale mema walioyafanya mana walipoteza vitu vyao vya msingi sababu ya weng..
wapigwe tu kwani kwao walipotoka kuna umeme ,maskini akipata ------ hulia mbwata.idiot
pambaf si tuko bize tuiletea nchi heshima. sisi ni wa 4 afrika mnadhani tunapendelewa,tokeni zenu
1.Nyie watu hamko sawa! Yaani umeme umekatika masaa 35 almost siku mbili bila maelezo/taarifa yoyote na hakuna namna nzuri ya kuwasiliana tatizo vijana kukonvey hii problem kwa style hii nyie mnasema wapigwe tu?
2. Yaani kama wametoka vijijini na huko Kingonsela ulikokusema so waendelee kuona kawaida swala la kutokuwa na uhakika wa umeme? That's to say watanzania walioko vijijini hawana haki ya kupata umeme? Mtu anayewaza kwa namna hii hana akili kabisa.
3. Miaka zaidi ya 50 baada ya uhuru bado hakuna uhakika wa umeme kwa watanzania 14% wanaoupata kwa sasa? 86% ya watanzania hawajawahi kutumia umeme pamoja na kuwepo raslmali kama makaa ya mawe, gesi asilia, upepo, jua, geothermal, maji, mawimbi ya bahari ambazo zingesaidia kuzalisha umeme wa kutosha?
4. Kukosekana kwa umeme wa uhakika 21st century wakati kuna serikali uliyo na mamlaka kusimamia raslmali na kodi Ni upumbavu. Wananchi wanatakiwa kuona kodi wanayolipa na raslimali zao zikiwarudia katika mtindo wa huduma kama maji, umeme, masoko, elimu, afya msionyeshe ujinga wenu hapa nyie malimbukeni wa mafanikio.