Angalizo zuri. Ila hapo mwishoni umezimua uzito wa ajenda, pigia chapuo kujiajiri mkuu (japo kujiajiri si neno ninalopenda kulitumia - bado linafanya tuone ajira ndiyo kila kitu)
Asante mkuu, najua sana kuwa nawe hufurahii kabisa mambo yanayoendelea kwa vile mara zote umesimama kutetea haki (humu jukwaani).
Bila kusema mengi niseme tu kuwa tatizo lililokuja kufanya wana wa nchi tukageuka ni tangu pale siasa ilipokuja kufanywa "deal", yaani ndiyo about the highest paying...
Mimi nimekuwa nikiililia nchi hii mpaka nikakubali kuwa kwa kizazi chetu (na huenda kijacho) kuyaona mabadiliko yatarajiwayo itakuwa ngumu. Tatizo kubwa la watu wetu wana-promote sana 'destructive mindset" (na inashangiliwa) badala ya constructive mindset. Yaani tunapenda sana egosystem badala...
Ni kweli huo mfumo ni jambo zuri, tatizo linakuja kwenye ukweli kuwa kila kitu kinachokuwepo kina "conditions" zake. Kwa habari hii conditions ni mbili: 1) utashi na 2) uwezo wa wananchi kuupigania mfumo.
Ndiyo tunarudi kwenye point zako kuwa walioko kwenye mamlaka wanatumia utashi wao...
Yote hayo ni kudhihirisha kuwa mfumo wa vyama vingi haukutakiwa tangu pale ulipoanzishwa. Wafanye tu turudi kwenye mfumo wa chama kimoja, tuache kuishi uongo.
Kwa kweli! Unachokiona wewe ndicho ninachokiona mimi. Kila nikisoma maelezo ya watu humu yaani wanazungumzia vitu tofauti kabisa na maana halisi. Na siyo kwenye kuielezea/kuifahamu lockdown tu.
Exactly! Tatizo kubwa la watanzania wanapenda sana kuwa vuguvugu, si moto wala si baridi. Jamaa hataki hata kugusia utaratibu wa uchaguzi unavyoendeshwa, ana-base argument zake kwenye kitu kingine kabisa ili tu aingize ajenda za kuwapeleka watu atakako yeye.
Halafu mkuu afadhali umerudi JF maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.