Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,498
- 113,601
Naunga mkono hoja yako, na ndicho kinachotokea Tanzania mwaka hadi mwaka kwa Watanzania huwa wanaamua kuwakabidhi nchi, wale wanaostahili!.Wenye uwezo wa kuamua hivyo ni WAPIGA kura kwenye Uchaguzi huru na wa haki chini ya tume huru ya Uchaguzi. Kama Watanzania wanaona kwamba hakuna chama cha upinzani chenye kustahili kukabidhiwa nchi basi wataamua hivyo.
P