Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,635
- 8,952
Kwani magu-fool huko chato anafunga viroba vya kuwapa watu maharage ??
Lengo la lockdown ni kucontain maambukizi baina ya watu..
Mkuu umewah jiuliza kwan nini China haikuishia kulock Wuhan kama mji ila ikaenda mbali zaidi kulock watu majumbani..?
Kuwa na lockdown katika level ya mji lakn haiaddress lengo mama la lockdown ambalo ni kudhibiti maambukizi baina ya watu its nonsense..
Hizi lockdown za kulock miji kwa lengo la kuwatoa muhanga watu walio ndani ya mji husika kwa mtizamo wako unadhan ni fair na serikali ndio itahesabika imelinda watu wake.? Yah kufunga mji halafu unaruhusu watu waishi kawaida ni sawa na kuwatoa watu muhanga..!
Je, kama taifa can we afford gharama ya lockdown inayo address lengo mama la lockdown la kudhibiti watu wasiambukizane kama China.?
Achilia mbali sabb za kiuchumi.
1. Freeman Mbowe ni mtoto wa tajiri na leo ni bilionea. Tangu utoto haijui shida hajui kuishiwa hajui kukosa ada hajui kutembea na vyeti kutafuta kazi. Anaweza kuamua hata kesho akae ndani miaka na bado afurahie maisha; sio wa kujilinganisha naye. Ukiona anambea lockdown nje ya eneo la Bunge jua kashiba; shibe ni mwanamalevya .USIMUIGE UTAKUFA NJAA
2. Fatma Karume, babu rais, baba mdogo rais pia ana baba mkubwa waziri kwa awamu kibao. Amekulia ikulu hajui hata kuishiwa; hajui shida nini, hajawahi kukosa chakula, hajawahi kuhangaika kuhaso na maisha. Akikwambia lockdown ni njia bora temea mate chini uondoke. UTAKUFA KWA NJAA NDANI KWAKO
3. Zito Kabwe, yeye ana mihula mitatu bungeni anakula pesa na kiinua mgongo, hajui dhiki kwa sasa japo ameipitia. Amesahu amekengeuka hajui shida. Ameshiba anachofikiria ni siasa. Leo wewe na yeye mkikaa ndani, yeye anakuwa kama yupo peponi anatuombea tuwekwe lockdown, hatupendi. UKIMUIGA UTAFIA NDANI, OGOPA.
4. WABUNGE, soon Bunge litavunjwa watakula zaidi ya mil 200 plus na bado wana mshahara wa zaid 9 milioni kwa mwezi; hata wakikaa ndani nao wanomba lockdown halafu kuna watu hawajui hata kesho wale nini wanaunga mkono, very poor. MTAKUFA NYIE, PIGENI KAZI.
U.S.A taifa kubwa leo watu wako mtaani hawataki kuwekwa ndani maisha magumu uchumi wa familia unakufa, wewe Mtanzania unalilia lockdown.
Ujerumani pamoja na kuwa ndio taifa lenye uchumi bora ulaya watu wamegoma licha ya kuwa na kesi zaidi yetu wameruhusu kurejea makazini.
Italy, Spain, Japan, Bolivia. Indian. Pakistan. na n.k wameanza kuruhusu watu kutoka maana hali si hali. Wewe Mtanzania mwenzangu kibarua cha siku ndio ule unawaiga wanasiasa. UTAKUFA KWA NJAA, TOKA KAPIGE KAZI.
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Lockdown hata serikali wakitumia nguvu iwepo, haitawezekana
Wananchi hawataki
Ukweli mtupu1. Freeman Mbowe ni mtoto wa tajiri na leo ni bilionea. Tangu utoto haijui shida hajui kuishiwa hajui kukosa ada hajui kutembea na vyeti kutafuta kazi. Anaweza kuamua hata kesho akae ndani miaka na bado afurahie maisha; sio wa kujilinganisha naye. Ukiona anambea lockdown nje ya eneo la Bunge jua kashiba; shibe ni mwanamalevya .USIMUIGE UTAKUFA NJAA
2. Fatma Karume, babu rais, baba mdogo rais pia ana baba mkubwa waziri kwa awamu kibao. Amekulia ikulu hajui hata kuishiwa; hajui shida nini, hajawahi kukosa chakula, hajawahi kuhangaika kuhaso na maisha. Akikwambia lockdown ni njia bora temea mate chini uondoke. UTAKUFA KWA NJAA NDANI KWAKO
3. Zito Kabwe, yeye ana mihula mitatu bungeni anakula pesa na kiinua mgongo, hajui dhiki kwa sasa japo ameipitia. Amesahu amekengeuka hajui shida. Ameshiba anachofikiria ni siasa. Leo wewe na yeye mkikaa ndani, yeye anakuwa kama yupo peponi anatuombea tuwekwe lockdown, hatupendi. UKIMUIGA UTAFIA NDANI, OGOPA.
4. WABUNGE, soon Bunge litavunjwa watakula zaidi ya mil 200 plus na bado wana mshahara wa zaid 9 milioni kwa mwezi; hata wakikaa ndani nao wanomba lockdown halafu kuna watu hawajui hata kesho wale nini wanaunga mkono, very poor. MTAKUFA NYIE, PIGENI KAZI.
U.S.A taifa kubwa leo watu wako mtaani hawataki kuwekwa ndani maisha magumu uchumi wa familia unakufa, wewe Mtanzania unalilia lockdown.
Ujerumani pamoja na kuwa ndio taifa lenye uchumi bora ulaya watu wamegoma licha ya kuwa na kesi zaidi yetu wameruhusu kurejea makazini.
Italy, Spain, Japan, Bolivia. Indian. Pakistan. na n.k wameanza kuruhusu watu kutoka maana hali si hali. Wewe Mtanzania mwenzangu kibarua cha siku ndio ule unawaiga wanasiasa. UTAKUFA KWA NJAA, TOKA KAPIGE KAZI.
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna uchumi uko hai?Wanataka serkali ifanye lockdown uchumi ufe kesho waanze kusema serkali inamipango mibovu imeuwa uchumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi hiyo sio lockdownNaunga mkono maoni yako. Lockdown, hapana. Lakini watu wakitoka nje wafuate maelekezo yatolewayo na wataalamu wa afya. Kusiwe na msongamano wa watu; watu wavae barakoa; wanawe mikono mara kwa mara; kuingia ofisini au supermarket mtu apimwe joto; n.k. Kwenye ibaada kusiwe kama ilivyoonekana Ijumaa kwenye msikiti wa Kariakoo. Sokoni pia kuwe na utaratibu wa kutosongamana. Kama tahadhari hizi zikifuatwa, bila shaka tutashinda.
Unalinganisha Tanzania na ChinaLengo la lockdown ni kucontain maambukizi baina ya watu..
Mkuu umewah jiuliza kwan nini China haikuishia kulock Wuhan kama mji ila ikaenda mbali zaidi kulock watu majumbani na kuzuia shughul za kibiashara..?
Kuwa na lockdown katika level ya mji lakn haiaddress lengo mama la lockdown ambalo ni kudhibiti maambukizi baina ya watu its nonsense..
Hizi lockdown za kulock miji kwa lengo la kuwatoa muhanga watu walio ndani ya mji husika kwa mtizamo wako unadhan ni fair na serikali ndio itahesabika imelinda watu wake.? Yah kufunga mji halafu unaruhusu watu waishi kawaida ni sawa na kuwatoa watu muhanga..!
Je, kama taifa can we afford gharama ya lockdown inayo address lengo mama la lockdown la kudhibiti watu wasiambukizane kama China.?
Achilia mbali sabb za kiuchumi.
Sentensi yangu ya pili inasema "Lockdown hapana".
Noma sana hii itauwa uchumiUkweli mtupu
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
kinachowasumbua nyinyi ni uelewa kuhusu lockdown au mmeamua kupotosha makusudi, labda mgeuliza lockdown ya namna gani?.
Kupiga karantini miji ili ugonjwa usisambae nchi nzima ni jambo la kawaida katika utabibu.
Hata kipindupindu kikipiga sana kwenye miji, miji hiyo hufungwa kuzuia watu wa miji mingine kuingia au watu wa mji ulioathirika kutoka.
Lockdown ina levels zake, tunaweza tusiwe na uwezo wa kuwafungia watu majumbani mwao lakini kufunga miji iliyoathirika zaidi hilo lilikuwa ndani ya uwezo wetu.
Sasa hivi korona inatafuna watu ile mbaya, huo uchumi unaoulilia hautawasaidia waliokufa kwa korona.
Serikali imeshindwa kulinda watu wake
I ama afraid huu ndio ukweli ambao watu wengi hawataki kuusikiaUnaweza kusema wakenya wagonjwa wanaongezeka kwa sababu wanapima watu wengi, sisi tukipima idadi ya watu kama waliyopima wakenya patakuwa mtafutano hapa
containment protocol. Na hapa nchi lazima ikubali yena kwa kuweka siasa pembeni. Ku direct asilimia kubwa ya resources zakenku roll back huu ugonjwa.Kwa namna na hali ya sasa ambapo ugonjwa umeshasambaa nchi nzima kuna haja tena ya hiyo lockdown? Nini kifanyike tena?
Lockdown sio rahiso kama baadhi wanavyotaka ionekane ila swala la watu kujazana bar, kuzurura bila sababu, mikusanyiko isiyo ya lazima tena bila kujikinga ni janga na ndio haswa litakalotumaliza.
I wish watu wangetumia common sense tu wakajitahidi kujilinda na kuepuka niliyoyataja hapo juu maana huku mtaani kunasikitisha sana.
Toa suluhisho basi maana elimu haina mwishoKuna watu katika nchi hii Wana roho mbaya ushahidi wanaona kabisa katika nyingine hali ilivyo lakini wanalazimisha lockdown
Kwanini hawaji na plan B wao ni lockdown sijui wanataka nini? Yaani mpaka wanakera sana na hawa watu ukiwachekea wanaingiza nchi kwenye matatizo
Mbona uchumi umekufa zamani au ndio nyinyi mnaona kupewa buku saba za bia hapo Lumumba ndio uchumi umekuwa ??
Nilikuwa namjibu mkuu Missile Of The Nation

Walitaka lockdown ili wasifiwe na mizungu sasa mizungu imefungua lockdown imewashinda hawa wamatumbi nao watabadilisha gia angani, bendera fuata upepo.