Rais Vladimir Putin: Afrika haitokaa iwe huru

Haya maneno wazungu wengi waliowahi kuja Africa wanayajua. Mwalimu wangu prof Wolfgang H. Hauffe ni RAIA wa Sweden mwenye asili ya Germany alitwambia darasani 2010 (akiwa na miaka 76) kwamba hapa darasani mnaheshimiana , lakin mmoja wenu akipata mamlaka juu wengine he will start treating them like shit. Akaongeza Africa mnastahili kwanza kupendana na kuthaminiana kabla ya kutegemea nchi za ulaya kuwathamani. Prof Silvio do Bono (RAIA wa Malta) huyu ni mdogo nadhani early 50s, naye alisema msidhani wazungu wote ni wasomi au matajiri, kuna omba omba kuna vilaza hata kuliko huku Africa. Tatizo mnakubali upuuzi wote mnaoshauriwa na wazungu ambao hawajui chochote wala hali ya Africa kuhusu swala la maendeleo .Akasema mwafrica akiandaa job offer wakaiitwa watu interview akaja mzungu form six na mwafrica mwenye PhD , HR mwafrica atachukua mzungu form six na atakubali upuuzo wa mzungu na kudharau mawazo yenye akili ya mwafrica mwenzake. Bado tuna mental slavery , our minds are not yet free. Bado tunajiweka watu wa daraja la tatu. Na mbaya zaidi hii mentality iko ndani ya +90% ya waafrica ,wasomi na ambao si wasomi. So bado safari ipo
Hili tatizo ndio lililowakumba wakenya kwa %99.9 hawaambiwa hawasikii na mzungu kilakitu ukimwambia utamsikia ooohh mzungu kasema hivi
 
"Afrika haitokaa iwe HURU. Waafrika wanawaamini Wazungu, Wamarekani na Wachina zaidi kuliko wanavyojiamini wao wenyewe....hawajiamini wao wenyewe hata kidogo.

Mzungu au mtu mweupe anafanya makosa Afrika tena makosa ya jinai ila hakuna hatua za kisheria zitakazochukuliwa dhidi yake kwa sababu mamlaka za Afrika zinatutazama sisi weupe kama miungu, jambo ambalo liko mbali sana na ukweli.

Mtu mweusi (Mwafrika) anaweza kuteswa, kunyanyaswa na hata kuuawa kinyama Ulaya lakini hakuna mamlaka yoyote ya Afrika inayoweza kuuliza wala kuhoji.

Waafrika wamejikubali na kuamini kuwa wao ni watu DHAIFU wasio na tumaini haswa linapokuja suala la kupambana na Wazungu, Wamarekani na Wachina. Mzungu, Mmarekani au Mchina anaweza kumdhalilisha, kumtukana, kumpiga na hata kumuua Mwafrika katika ardhi ya Afrika tena kwenye nchi yake au nje ya Afrika na Viongozi wa Afrika wataliona hilo na kila mmoja atajiweka kana kwamba hakuona wala kusikia.

Adui wa Mwafrika ni Mwafrika. Mwafrika mpe silaha, pesa au ahadi ya madaraka madogo tu kwa sharti moja tu la kumuua Mwafrika mwenzake, atamuua kinyama kuliko ulivyotarajia. Adui wa Mwafrika sio mzungu, sio Mmarekani wala sio mchina. Adui wa Mwafrika ni AKILI na fikra zake na ndio maana leo Wazungu, Wamarekani, Waarabu na Wachina wameitawala tena Afrika kwa kutumia dini, Elimu, uchumi, teknolojia, siasa na utamaduni.

Waafrika ni watu wanaochukiana na wasioaminiana na ndio maana Afrika haiwezi kuungana na haitokaa iungane kuwa na dola imara. Chuki ya wenyewe kwa wenyewe na utengano ndio inayowapa wakoloni wao nguvu ya kuendelea kunyonya rasilimali za Afrika."

Je unakubaliana na Rais Vladmir Putin?
Ujumbe una uhalisia ndani yake lakini tatizo liko hapa, huo ujumbe Putin aliutoa lini na wapi?

Maana unapouliza na kuhitaji kujua kama tunakubaliana naye, yatupasa tujue kwanza kama kweli ni yeye na si mtu mwingine tu aliyeamua kupachika jina la mtu fulani maarufu ili ujumbe wake usomwe na wengi. Hili limezoeleka mitandaoni kwa watu fulani fulani maarufu kuchomekewa jumbe ambazo sio zao kabisa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Marehemu Robert Mugabe nahisi ndie anaongoza Afrika kulishwa maneno mengi ingawa maneno aliyolishwa yana busara sana.
 
"Afrika haitokaa iwe HURU. Waafrika wanawaamini Wazungu, Wamarekani na Wachina zaidi kuliko wanavyojiamini wao wenyewe....hawajiamini wao wenyewe hata kidogo.

Mzungu au mtu mweupe anafanya makosa Afrika tena makosa ya jinai ila hakuna hatua za kisheria zitakazochukuliwa dhidi yake kwa sababu mamlaka za Afrika zinatutazama sisi weupe kama miungu, jambo ambalo liko mbali sana na ukweli.

Mtu mweusi (Mwafrika) anaweza kuteswa, kunyanyaswa na hata kuuawa kinyama Ulaya lakini hakuna mamlaka yoyote ya Afrika inayoweza kuuliza wala kuhoji.

Waafrika wamejikubali na kuamini kuwa wao ni watu DHAIFU wasio na tumaini haswa linapokuja suala la kupambana na Wazungu, Wamarekani na Wachina. Mzungu, Mmarekani au Mchina anaweza kumdhalilisha, kumtukana, kumpiga na hata kumuua Mwafrika katika ardhi ya Afrika tena kwenye nchi yake au nje ya Afrika na Viongozi wa Afrika wataliona hilo na kila mmoja atajiweka kana kwamba hakuona wala kusikia.

Adui wa Mwafrika ni Mwafrika. Mwafrika mpe silaha, pesa au ahadi ya madaraka madogo tu kwa sharti moja tu la kumuua Mwafrika mwenzake, atamuua kinyama kuliko ulivyotarajia. Adui wa Mwafrika sio mzungu, sio Mmarekani wala sio mchina. Adui wa Mwafrika ni AKILI na fikra zake na ndio maana leo Wazungu, Wamarekani, Waarabu na Wachina wameitawala tena Afrika kwa kutumia dini, Elimu, uchumi, teknolojia, siasa na utamaduni.

Waafrika ni watu wanaochukiana na wasioaminiana na ndio maana Afrika haiwezi kuungana na haitokaa iungane kuwa na dola imara. Chuki ya wenyewe kwa wenyewe na utengano ndio inayowapa wakoloni wao nguvu ya kuendelea kunyonya rasilimali za Afrika."

Je unakubaliana na Rais Vladmir Putin?
Iko siku nitaingia kwenye siasa nifanye kama mwanaume gadafi!
 
Kujadili mada sensitive kama hii bila ya kuwa na chanzo ni kupiga tu umbeya!
 
nakubaliana nae sana tu, alafu nimesoma kwa kiswahili hivi putin anajua kiswahili au umetafsiri na wewe ukamuongezea kidogo??
 
Hata hizi tunazoita nchi zetu tuliwekewa mipaka na wazungu, walipotuacha tujiongoze wenyewe hizo nchi zikageuka miradi ya watu wachache.
 
"Afrika haitokaa iwe HURU. Waafrika wanawaamini Wazungu, Wamarekani na Wachina zaidi kuliko wanavyojiamini wao wenyewe....hawajiamini wao wenyewe hata kidogo. Mzungu au mtu mweupe anafanya makosa Afrika tena makosa ya jinai ila hakuna hatua za kisheria zitakazochukuliwa dhidi yake kwa sababu mamlaka za Afrika zinatutazama sisi weupe kama miungu, jambo ambalo liko mbali sana na ukweli. Mtu mweusi (Mwafrika) anaweza kuteswa, kunyanyaswa na hata kuuawa kinyama Ulaya lakini hakuna mamlaka yoyote ya Afrika inayoweza kuuliza wala kuhoji. Waafrika wamejikubali na kuamini kuwa wao ni watu DHAIFU wasio na tumaini haswa linapokuja suala la kupambana na Wazungu, Wamarekani na Wachina. Mzungu, Mmarekani au Mchina anaweza kumdhalilisha, kumtukana, kumpiga na hata kumuua Mwafrika katika ardhi ya Afrika tena kwenye nchi yake au nje ya Afrika na Viongozi wa Afrika wataliona hilo na kila mmoja atajiweka kana kwamba hakuona wala kusikia. Adui wa Mwafrika ni Mwafrika. Mwafrika mpe silaha, pesa au ahadi ya madaraka madogo tu kwa sharti moja tu la kumuua Mwafrika mwenzake, atamuua kinyama kuliko ulivyotarajia. Adui wa Mwafrika sio mzungu, sio Mmarekani wala sio mchina. Adui wa Mwafrika ni AKILI na fikra zake na ndio maana leo Wazungu, Wamarekani, Waarabu na Wachina wameitawala tena Afrika kwa kutumia dini, Elimu, uchumi, teknolojia, siasa na utamaduni. Waafrika ni watu wanaochukiana na wasioaminiana na ndio maana Afrika haiwezi kuungana na haitokaa iungane kuwa na dola imara. Chuki ya wenyewe kwa wenyewe na utengano ndio inayowapa wakoloni wao nguvu ya kuendelea kunyonya rasilimali za Afrika." Je unakubaliana na Rais Vladmir Putin?

pamoja na kua hii habari haikupata udhibitisho wa chanzo chake,lakini ni muhimu kujadiliwa kwa kina kwa mustakabali wa kizazi chetu na kinachotufuatia.
kama kweli huyo putin kasema hivyo basi yaweza kuwa yupo upande wetu na anatutakia mema, lau kama kasema kwa minajili ya kuwaponda wenziwe maana tunajua yupo kinyume na nchi zamagharibi na hata huko china pia, vyo vyote vile mi ishara ya nuru kwamba kumepambazuka na niwakati wa kuamka na nivyema kuamka ya jua kukuchwa tena.

tumeonewa sana tumehaharibiwa fikra sana ,muda wetu umepotea nknk.
lakini nafasi bado ipo.
 
I wish tuungane kuleta maendeleo Barani kwetu. Tunadharauliwa sana kwa umaskini wetu, wengine wanafikiri Africa tunalala kwenye Miti, 🤣
 
Hawezi kusema hivyo... Weka chanzo cha hiyo habari.
Habari za kutunga na tulivyo na watu wengi wasio na akili wakipata habari yoyote ile hata hawawezi kuichuja wanaibeba kama ilivyo.

Sasa huku kakutana na huu uharo huko umetungwa na kusingiziaa putin ameubeba kama ulivyo.

Ndio maana ccm bado itaendelea kutawala hii nchi kipindi kirefu. Wajinga bado ni wengi sana.
 
"Afrika haitokaa iwe HURU. Waafrika wanawaamini Wazungu, Wamarekani na Wachina zaidi kuliko wanavyojiamini wao wenyewe....hawajiamini wao wenyewe hata kidogo.

Mzungu au mtu mweupe anafanya makosa Afrika tena makosa ya jinai ila hakuna hatua za kisheria zitakazochukuliwa dhidi yake kwa sababu mamlaka za Afrika zinatutazama sisi weupe kama miungu, jambo ambalo liko mbali sana na ukweli.

Mtu mweusi (Mwafrika) anaweza kuteswa, kunyanyaswa na hata kuuawa kinyama Ulaya lakini hakuna mamlaka yoyote ya Afrika inayoweza kuuliza wala kuhoji.

Waafrika wamejikubali na kuamini kuwa wao ni watu DHAIFU wasio na tumaini haswa linapokuja suala la kupambana na Wazungu, Wamarekani na Wachina. Mzungu, Mmarekani au Mchina anaweza kumdhalilisha, kumtukana, kumpiga na hata kumuua Mwafrika katika ardhi ya Afrika tena kwenye nchi yake au nje ya Afrika na Viongozi wa Afrika wataliona hilo na kila mmoja atajiweka kana kwamba hakuona wala kusikia.

Adui wa Mwafrika ni Mwafrika. Mwafrika mpe silaha, pesa au ahadi ya madaraka madogo tu kwa sharti moja tu la kumuua Mwafrika mwenzake, atamuua kinyama kuliko ulivyotarajia. Adui wa Mwafrika sio mzungu, sio Mmarekani wala sio mchina. Adui wa Mwafrika ni AKILI na fikra zake na ndio maana leo Wazungu, Wamarekani, Waarabu na Wachina wameitawala tena Afrika kwa kutumia dini, Elimu, uchumi, teknolojia, siasa na utamaduni.

Waafrika ni watu wanaochukiana na wasioaminiana na ndio maana Afrika haiwezi kuungana na haitokaa iungane kuwa na dola imara. Chuki ya wenyewe kwa wenyewe na utengano ndio inayowapa wakoloni wao nguvu ya kuendelea kunyonya rasilimali za Afrika."

Je unakubaliana na Rais Vladmir Putin?

Hivi ndivyo walivyofanya, ndivyo anavyotaka hata yeye iwe milele hivyo, their supremacy is man made.
 
Elimu, Elimu, Elimu hakuna alivyo yeyote aliyetofauti nasi ambaye hajawa hivyo tofauti na sisi Waafrica bila elimu.
 
Back
Top Bottom