Recent content by Aniva

  1. Aniva

    Nipo ofisini kwangu hapa kuna mwanamke wa mtu anatongozwa

    Hiyo picha Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Aniva

    Nipo ofisini kwangu hapa kuna mwanamke wa mtu anatongozwa

    Hahahahaahahhahaaha Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Aniva

    Msaada: Kwa matokeo haya mdogo wangu anataka kusoma HGL, atafanikiwa?

    Hiyo 3.26 au 3 ya mwisho, kwa HGK au HKL Baadae atasoma ualimu wa art(ambao hauna ajira mpaka jiwe amalize nngwe yake), tofauti na hapo ni corse zingne za art au biashara kama HR,Law,BBA n.k n.k ambapo hizi course zote anaweza kuanza na certficate huku chini nabaadae akapanda Diploma na Kumamiza...
  4. Aniva

    Tusio na kazi tukutane hapa

    FURSA KWA WALIOSOMEA UKARANI WA FEDHA (OPPORTUNITY FOR NEW ACCOUNTS TECHNICIANS) - JamiiForums Ajira hizi. Nimecopy na kupaste sina bando la kwenda extenal link Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Aniva

    Dah Wachina noma!

    Namtaka aje aniambie namimi niwe kama yeye Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Aniva

    Cover IPI ya taaa ya nyuma imenoga na IPO kisasa?

    Wanapatik wapi hawa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Aniva

    WanaJF tungekuwa wakweli

    Mbona tunajuana humu mfano mdogo tu kama hawa members! Nokia huyu tunamjua kama wewe humjui ni wewe tuu, yeye anafanya kazi ofisi nzuri anapanda lift kila siku ana saa nzuri kila siku mpya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mweupe smart pia..mwangalie dp yake utajua, mtumie sms atakujibu hata...
  8. Aniva

    Mchumba

    Mimi mzuriiiii, mweupe pee, chini hadi juu nimekamilika, Naogopa nisije pambana na malaik Wengine huko kijijini kwenu.wewe lima mahindi, maharagwe,mpunga niletee uwe unakuja dar na kurudi kijijini kwenu. [emoji1][emoji1] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Aniva

    Mchumba

    Aah wapi nani anataka kuishi shamba. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Aniva

    Mchumba

    Ni mimi tu ndio shetani saidikobelo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Aniva

    Mchumba

    Saidi kobela anahitaji mchumba awe kama malaika. Siye mashetani hatuna nafasi hapa. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Aniva

    Loh! Nabadilisha gari sasa!

    Eehh ivo ivo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Aniva

    Mjadala: Hivi kwa nini wanawake walioko kwenye ndoa wanaongoza kwa kuchepuka sana siku hizi?

    Hii comment yangu mbona sijakoment kwenye uzi huu. Inafanya nin huku? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Aniva

    Loh! Nabadilisha gari sasa!

    Mimi hata hicho ki paso nahtaji jamani Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Aniva

    Natafuta mwanamke

    Aahh chache tu. Watu wahumu hawahitaji hayo mambo. Txt me again plz. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom