Msaada: Kwa matokeo haya mdogo wangu anataka kusoma HGL, atafanikiwa?

advocate kiza

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
261
90
Kuna mdogo wangu mwenye umri wa miaka 19, amemaliza kidato cha nne mwaka 2017 na alipata Division Four Point 26,
Civics C
English C
Kiswahili C
History D
Geography D
Biology D
Math F

Mpango wake ni kwenda Advance katika Comb HGL, sasa tatizo linakuja baadhi ya Topics(map,stastic,photo) za O-level hakusoma vizuri, kapata D

Je, aiache asome Kiswahili? Au kuna namna yoyote itakayomfanya apate angalau C
 
Hapo umetuchengua. Hawezi pata C 3 na akawa Div 4. Iyo ni Div. 3 ya 25

Halafu huo ni upuuzi. Eti kisa hakucover topic za Geography ndo kapata D. Hizo alizocover mbona kapata C hakupata A???

Anyway kama anataka kusoma aende akapambane bila kujali alifanya nn o level. As long as ana Qualifications aende Shule
 
Hiyo 3.26 au 3 ya mwisho, kwa HGK au HKL Baadae atasoma ualimu wa art(ambao hauna ajira mpaka jiwe amalize nngwe yake), tofauti na hapo ni corse zingne za art au biashara kama HR,Law,BBA n.k n.k ambapo hizi course zote anaweza kuanza na certficate huku chini nabaadae akapanda Diploma na Kumamiza Degree,

Sioni sababu za kupoteza muda kurudia somo moja. Wakati mbadala upo!
Au una sababu gani yakutaka afike Six? Isije ikawa kuna kitu umelenga sisi tuna-
Kukatisha tamaa kwa shortcut.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, Tatizo Mkwanja Certificate,ordinary Diploma,advanced Diploma Ni Mkwanja Mrefu Mno, Minimum Kama Milion 7.5 Ada,hostel,na Mengineyo Yote Yana Fika Hela Hiyo, Wakati Private Miaka Miwili Ni Kama 3.Mil Tu Pia Atasoma Bachelor In Laws
 
Hapo umetuchengua. Hawezi pata C 3 na akawa Div 4. Iyo ni Div. 3 ya 25

Halafu huo ni upuuzi. Eti kisa hakucover topic za Geography ndo kapata D. Hizo alizocover mbona kapata C hakupata A???

Anyway kama anataka kusoma aende akapambane bila kujali alifanya nn o level. As long as ana Qualifications aende Shule
yuko sahihi ni div 4 ya 26 bila chengaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Mdogo Wangu Mwenye Umri Wa Miaka 19, Amemaliza Kidato Cha Nne Mwaka 2017 Na Alipata Division Four Point 26,
Civics C
English C
Kiswahili C
History D
Geography D
Biology D
Math F
Mpango Wake Ni Kwenda Advance Katika Comb HGL, Sasa Tatizo Linakuja Baadhi Ya Topics(map,stastic,photo) Za O-level Hakukava Thatwhy Kapata D, Je Aiache Asome Kiswahili? Au Kuna Namna Yoyote Itakayomfanya Apate Angalau C
Ni kweli huyu ana 4:26 na 3 inaishia na 25. Bahati mbaya serikali inasema kwenda F5 lazima usiwe na point ZAIDI 25 kwenye best 7 subjects. Hapo sioni atapitaje itabidi arudie kama anataka F5 vinginevyo aende cert/diploma.
 
Ni kweli huyu ana 4:26 na 3 inaishia na 25. Bahati mbaya serikali inasema kwenda F5 lazima usiwe na point 25 kwenye best 7 subjects. Hapo sioni atapitaje itabidi arudie kama anataka F5 vinginevyo aende cert/diploma.
Nazungumzia Private School Mkuu, Kuna Course Yoyote Ya Mtu Wa Art Atakayeanza Diploma?
 
Muongozo uliotolewa na Dr Semakafu March 2018 hausemi kama kuna tofauti kati ya private na public. Pili kuna course za IT kama Arusha Technical zinataka angalao D4 bila kujali kama ni arts au science.
 
Mkuu, Hebu Nielezee Vizuri Hapo Kwenye Waraka Na Hicho Chuo Cha I.T Kwa Matokeo Hayo Anaanza Cert Au Diploma
 
ORDINARY DIPLOMA PROGRAMMES

Mkuu angalia hii hapa (c)

Entry Requirements

a.Holders of Certificate of Secondary Examination Education (CSEE) with a minimum of four (4) passes of “D” grades in Physics or Engineering Science, Mathematics, Chemistry, and English.

b.Applicants of Laboratory Sciences & Technology and Electrical and Biomedical Engineering programme must have passed Biology in addition to the above requirement

c.Applicants of Computer Science or Information Technology must have minimum of four (4) passes of grade “D” in any subjects excluding Religious, Nutrition, and Needle work

Source: ICT DEPARTMENT - Ordinary Diploma
 
Sasa Mkuu Si Itamsumbua IT Maana Alikuwa Art
 
Ni kweli huyu ana 4:26 na 3 inaishia na 25. Bahati mbaya serikali inasema kwenda F5 lazima usiwe na point ZAIDI 25 kwenye best 7 subjects. Hapo sioni atapitaje itabidi arudie kama anataka F5 vinginevyo aende cert/diploma.
Mkuu mimi nilipata hiyo 26 nikachaguliwa public shule fulani kanda ya ziwa huko second selection nikiwa na credit 3 za hkl. Hata hivyo sikwwnda niliishia kwenda chuo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo 3.26 au 3 ya mwisho, kwa HGK au HKL Baadae atasoma ualimu wa art(ambao hauna ajira mpaka jiwe amalize nngwe yake), tofauti na hapo ni corse zingne za art au biashara kama HR,Law,BBA n.k n.k ambapo hizi course zote anaweza kuanza na certficate huku chini nabaadae akapanda Diploma na Kumamiza Degree,

Sioni sababu za kupoteza muda kurudia somo moja. Wakati mbadala upo!
Au una sababu gani yakutaka afike Six? Isije ikawa kuna kitu umelenga sisi tuna-
Kukatisha tamaa kwa shortcut.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ualimu sio fani ya waliofeli au kupata daraja la nne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom