Loh! Nabadilisha gari sasa!

goodfool

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,664
993
Wakuu natumia kitoyota passo ambacho nilinunua kwa mtu, ila sasa nataman kubadili baada ya kufanikisha kuuza hili la sasa,

Natamani lutumia gari ndogo vilevile aina ya Toyota IST,

TOYITA IST sijui kwann naipenda, jaman kama zile 2005 model nazizimia sana.

Nahitaji hata kwa mtu, maana hii gari dukan/mpya sintaiweza. Asateni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Ungekuwaa na Vitz RS namba D ningekupa hii IST yangu namba D safi kabisaa uniongezee na kama 2m hv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tujifunze kupongeza badala ya kulaum,kwako passo inaweza kuwa gar ya ovyo kwa sababu unamilki gar kubwa but je ulianzia wap?
Mimi nakumbuka nilianzia swift new model and i was proud ! Badae nikahamia ist mpk huku nilipo but wote tumetoka huko kwenyw ist au passo achen kumdhihaki
Na utashangaa mnaomdhihaki hata gari tu hamna
 
Hahahaha

Mimi nataka kurudi chini, natoka ist mpk vitz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom