Recent content by anily

  1. A

    Knowing The Unknown

    Story yako inatufundisha nn!?
  2. A

    Deal ya kutengeneza Business Cards

    Thanx jamani, nishapata msaada!
  3. A

    Deal ya kutengeneza Business Cards

    Jaman, mtu anayedeal na kutengeneza business cards naomba anipm haraka. Ubora wa kazi na unafuu wa bei unazingatiwa!
  4. A

    Ninahitaji ushauri wa haraka wadau wa jukwaa hili!!

    Possibility kubwa, inawezekana anakupima tu akili ili ajue km unampenda kwa dhati. Chukua muda, utulie, jitahidi kuwa karibu naye ila usijihusishe naye kimapenzi,baada ya kitambo hali mliyokuwa nayo kwa ss itapita, hapo utachukua maamuzi yanayofaa km kw rafiki wa kawaida na kutafuta mpenzi au...
  5. A

    Msaada wa namna yakuanzisha biashara kulingana na taaluma yako

    Ndio inawezekana kabisa, kujiajiri kulingana na taaluma yako. Mfano, mwalimu unaweza kuanzisha tuition centre, mhasibu unaweza kuanzisha consultancy firm, kutengeneza financial statements na financial consultation ya kampuni ndogo ndogo, mhandisi inategemea ni muhandisi wa nn, kwa mfano mhandisi...
  6. A

    Nafasi za kazi Precision Air

    Vigezo na viwango kuzingatiwa! Gud luking lol!
  7. A

    Are u ready to work in IRAMBA,KITETO OR SIMANJIRO? Apply now

    Eti mtu na 3 yrs experience afu uende huko! Utakuwa na wazimu si bure!
  8. A

    Kizungumkuti Cha Lugha ya Kiingeteza; Bunge limenikumbusha mbali leo!!

    Tena akiifikisha huko aandike kwa lugha rahisi ya kiswahili, manake yeye mwenyewe lugha kizungu hawezi na kiswakinge hakitakiwi!
  9. A

    Romance

    Hapa gramma inahusika nayo! Hv hii sentensi iko sahihi wadau au ndio mambo yetu ya kidhungu
  10. A

    Usafi baada ya kufanya mapenzi!

    Hiyo naona inawafaa wasio na masterbed rum, manake kutoka nje kuoga, usiku wa manane, nyumba ya kupanga, unaweza zushiwa mwanga!
  11. A

    Usafi baada ya kufanya mapenzi!

    Kwa kweli kuoga yapendeza afu inawapa nguvu mpyaaaa! Aisee mkishamaliza shughuli afu msioge naona kinyaaaaaaa! Ila kasheshe kwa wasiojua game, imagine mtu dkk 3 tu anamwaga, si atashinda kwenye maji km samaki!
  12. A

    Naombeni ushauri wenu wa busara

    Mimi ni mwanamke kwa upande wangu kabla hatujaoana sikupenda kabisa hy mambo ambayo mchumba wako anakufanyia! Ina maana yeye huwa anampigia nani km unampa vocha na bado anakubip? Wanawake wa staili hii ni hatari sn, hata mliwa kwenye ndoa, usitegeemee mshahara wake kusaidi mahitaji hom...
  13. A

    Rafiki wa mume wangu ananitaka

    Jaman, hebu nisaidieni ktk hili, mimi nimeolewa na nnampenda sn mume wangu, sijawahi kumsaliti tokea nimekutana naye. Hivi keribuni amenitambulisha kwa rafiki yk ambaye alionekana mstaarabu kumbe mnafiki. Rafiki yake huyo ameoa ila cha kushangaza ananitaka mimi wakati mi ni mke wa mtu...
  14. A

    Rafiki yangu

    Kwa nn unapenda vya watu? Vya bire gharama, fanya kazi usipende vya kupewa ona sasa vimekutokea puani!
Back
Top Bottom