Ninahitaji ushauri wa haraka wadau wa jukwaa hili!!

Ulimate4

Member
Nov 5, 2010
37
1
Ninahitaji ushauri wenu wa haraka wadau wa jukwaa hili ,nina msichana ambaye nilianzanae mahusiano kama wapenzi
mwenzi mmoja ivi uliopita ,ananipenda nami pia nimempenda ,lakini katika muda huo tulokuwa pamoja hatujawahi kujihusisha na kufanya mapenzi , kumejitokeza tatizo ambalo ninashindwa kulipatia ufumbuzi wa haraka,kwani nilimtaka tukapime afya zetu kabla ya kuendelea mbele na mahusiano yetu,ndipo alipo amua kuniabia ukeli kuwa ameathika ,na haina haja ya yeye kwenda angaza kupima tena, pia ananiambia kuwa bila mimi hawezi kuendelea kuishi,ni bora ajiue tu ,ninaomba msaada wenu wa haraka je' niachane nae ama?
 
Mwezi mmoja na nusu anataka kujiua?

Mpeleke angaza kwa ushauri zaidi nadhani hajajikubali.
 
Sumu haijaribishwi kwa kuonja,onja uone! Mwambie ajiue 2 coz atakua kakupa uhuru wa kuendelea na maisha yako.
 
Ubaki rafiki yake tu (bila mahusiano ya mapenzi) ili umsaidie kuikubali hali. Halafu tafuta mpenzi mwingine!
 
Mnunulie sumu ya panya na kamba ya Manila halafu mwambie achaguwe atakachoona kinauwa haraka, but am sory brother wewe naweza kukuita upo kwenye kundi la mazoba.

Hivi wewe una nini mpaka mwanamke aseme kwamba bila ya wewe atajiuwa? usikute hata bajaj huna na bado unajijaza ujinga eti unapendwa kiviile. loh!...
 
Possibility kubwa, inawezekana anakupima tu akili ili ajue km unampenda kwa dhati. Chukua muda, utulie, jitahidi kuwa karibu naye ila usijihusishe naye kimapenzi,baada ya kitambo hali mliyokuwa nayo kwa ss itapita, hapo utachukua maamuzi yanayofaa km kw rafiki wa kawaida na kutafuta mpenzi au kuendelea naye ikiwa utabaini alikuwa anakupima tu.
 
anamjaribu ili iweje??

Hata kama anamjaribu, kama ni mie namwaga tu, utani gani wa roho huo?

Possibility kubwa, inawezekana anakupima tu akili ili ajue km unampenda kwa dhati. Chukua muda, utulie, jitahidi kuwa karibu naye ila usijihusishe naye kimapenzi,baada ya kitambo hali mliyokuwa nayo kwa ss itapita, hapo utachukua maamuzi yanayofaa km kw rafiki wa kawaida na kutafuta mpenzi au kuendelea naye ikiwa utabaini alikuwa anakupima tu.
 
Possibility kubwa, inawezekana anakupima tu akili ili ajue km unampenda kwa dhati. Chukua muda, utulie, jitahidi kuwa karibu naye ila usijihusishe naye kimapenzi,baada ya kitambo hali mliyokuwa nayo kwa ss itapita, hapo utachukua maamuzi yanayofaa km kw rafiki wa kawaida na kutafuta mpenzi au kuendelea naye ikiwa utabaini alikuwa anakupima tu.

HIV sio upepo kusema kwamba utapita! Usimchuze mademu wajanja sana anaweza akakupa mshawasha hadi akili potea(ball dinda) then ukauza mechi
 
inawezekana kabisa kuwa huyo dada akawa ameanza kukupenda kiukweli, sasa cha kufanya wewe ongea nae mshawishi umpeleke angaza wote wawili mtapata ushauri mzuri kwani mbona kuna couples nyingi tuu siku hizi mmoja ameathirika mwingine mzima, inategemea na mapenzi uliyo naye kwake, na jinsi gani mmeshibana, isitoshe si rahisi kwa mwanaume kuupata ukimwi kutokana na maumbile yake na pia kuna suala la kutumia condom,, so unless hujampenda na kumshiba kivile usifanye hayo niliyokushauri kwani utamnyanyapaa huyo msichana bila kujijua na itamuumiza.....cheers!!
 
usiongee naye kabisaaa. Fanya kitu moja: nunua sumu ya panya (andika SUMU), kamba nene ya nylon (funga kitanzi), etc. halafu kavitegeshe gheto. Ataamka tu.
 
Ninahitaji ushauri wenu wa haraka wadau wa jukwaa hili ,nina msichana ambaye nilianzanae mahusiano kama wapenzi
mwenzi mmoja ivi uliopita ,ananipenda nami pia nimempenda ,lakini katika muda huo tulokuwa pamoja hatujawahi kujihusisha na kufanya mapenzi , kumejitokeza tatizo ambalo ninashindwa kulipatia ufumbuzi wa haraka,kwani nilimtaka tukapime afya zetu kabla ya kuendelea mbele na mahusiano yetu,ndipo alipo amua kuniabia ukeli kuwa ameathika ,na haina haja ya yeye kwenda angaza kupima tena, pia ananiambia kuwa bila mimi hawezi kuendelea kuishi,ni bora ajiue tu ,ninaomba msaada wenu wa haraka je' niachane nae ama?

Hebu kwanza................aliposema ameathirika reaction yako wewe ilikuwaje? na kwa nini alisema bila wewe hawezi ishi?
Were you ready to continue with her au ndo ulisema kama ni hivyo kwa heri?

2. Kabla ya kuomba kucheck afya zenu, je yeye alionyesha willingness katika ku-do bila kinga?
 
Mi nakushauri umshawishi mkapime! Hawa viumbe wanamitego isiyokuwa na maana. Pengine amekuambia tu hivyo kukupima,na kuona msimamo wako. Mkapime,kama ni kweli umsaidie kadiri uwezavyo lakini utafute mpenzi mwingine.Hauwezi kuishi nae milele.MKAPIME KWELI,USIAMINI KUWA NI MWATHIRIKA BILA KUSHUHUDIA VIPIMO!
 
Mh sasa hapo unaonyesha una maamuz tayar na naamin unajipenda na una malengo yako ya muda mrefu. . kapime ujione kama uko salama , kama hauko salama atakufaa kama uko safi hakuna sababu ya mahusiano
 
Kwani si umeshasema unampenda? Unaona tatizo kuendelea kumpenda kwa sababu ana hiv? Kweli elimu ya ukimwi bado sana!
Nakushauri umuambie muende mkapime wote. Mtapewa ushauri nasaha utakaowasaidia kuamua cha kufany.
 
Back
Top Bottom