Usafi baada ya kufanya mapenzi!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Inawahusu wawili wanaoishi pamoja,SIO wale wanaokutana gesti kwa short time.Nauliza wenzangu wanamaandalizi gani kabla na baada ya kufanya mapenzi.maana mi naonaga uvivu kuoga oaga kila wakati ninapo do usiku!
 
ni suala la preference/convenience tu, wengine wanapenda usafi kila baada ya round, wengine wanaunganisha tu... no hard and fast rule
 
Ndio kazi ya somo sasa. Hivi inakuaje siku hizi
watu wanaoa/kuolewa bila kwenda jandoni?
ma-trick yote ya usafi ungepata huko huko
Mrs nae angefundwa,kazi yake angeijua vizuri.
Ngoja mi nikae kimya, tuliambiwa tusieme tulicho fundwa.
 
tupe darasa wengine tumekwenda jando la kimjinimjini baby!
 
DU AYA NDO MAMBO YANGU YA MAVITUZ, NATMAI INATEGEMEA CHUMBA CHAKO KIMKAAJE KAMA NI SELF KILA BAADA YA KUPIGA BAO LAZIMA UPATE MUOGO (YAANI UOGE), LKN KWA WENGINE WASOKUWA NA SELF DUH NAAMINI NI KINYAA KWENDA MBELE, PUUH...:kev:
 
Inawahusu wawili wanaoishi pamoja,SIO wale wanaokutana gesti kwa short time.Nauliza wenzangu wanamaandalizi gani kabla na baada ya kufanya mapenzi.maana mi naonaga uvivu kuoga oaga kila wakati ninapo do usiku!

Yahoo mkimaliza msosi shurti mkajiswafi kwanza,ili kuondoa majasho na kurudisha nguvu mpya,kuoga kunasaidia sana kuwafa mjione kama ni wapya,
na inapendeza sana kama mtaoga pamoja katika harakati za kuogesha mnaweza kupata ham ya kula chakula tena hukohuko bafuni,
Kuoga ni muhimu sana Yahoo.
 
so,kila baada ya bao ,kuoga!
 
Kwa kweli kuoga yapendeza afu inawapa nguvu mpyaaaa! Aisee mkishamaliza shughuli afu msioge naona kinyaaaaaaa! Ila kasheshe kwa wasiojua game, imagine mtu dkk 3 tu anamwaga, si atashinda kwenye maji km samaki!
 
cc huwa tunajifuta kwa kitambaaa au kitambaa safiiii,then game linaendlea
 
Kabla hakunaga maandalizi,usafi ni baada ya kazi...
Wacha kumpoteza kijana wa watu. hakuna maandalizi kabla?
Mtu unatoka na majasho kazini, shambani, sokoni, sijui wapi
unadhani utahudumia(wa) sawa na unapo kuja sofresh soclean?
 
Hahahahaha, umenichekesha kweli.
Hata hii look tulifundwa huko huko.
Sio mwanamke unaangalia na macho ya ukali::mmph:
kama unaingiza vocha, hutaki kuruka number.
Tutaftane ili tufundishane kwa kujinafasi zaidi ,inaelekea unamambo adimu.... ni PM!
 
Back
Top Bottom