Recent content by Angy Ney

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaichukuliaje hii binti/mtoto wa kike kukukazia macho usoni bila kupepesa jicho?

    Mi nikiongea na mtu lazima nimkazie macho kinyume na hapo ntaelewa kwa shida sana
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kisasa na tatizo la "Double standard"

    Ulitumia hekima sana
  3. A

    JamiiForums Tanzania UKAWA mtumieni mama Regina Lowassa kwa namna hii

    Naunga mkono hoja, huyu mama anafaa sana
  4. A

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Tumewachagua ili mtutumikie, nende mkafanye kazi, mkileta mchezo 2020 tutawachinjilia mbali
  5. A

    JamiiForums Tanzania Joseph Nyerere na Lembeni kulikoni?

    Jamani mwee
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mkubwa BAVICHA kujiunga na UVCCM kesho

    Aende tu, kaondoka mzee wa mihogo atakua yeye
  7. A

    JamiiForums Tanzania Je, nifanyeje nisichepuke?

    Kisa cha huyo mkeo kwenda kukaa huko muda wote nini? masuala ya kwenda kujifungulia home eti kisa huna msaidizi.c hoja.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Regina Lowassa on ITV, sikiliza mahojiano

    Huyu mama yupo vizuri sana
  9. A

    JamiiForums Tanzania Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

    Hao ndo waandishi tunao wataka. Mikutano ya lowasa inatia raha bana, yaani unafurahi, unafarijika nakuona kama umetua mzigo.fulani hivi. Tunaomba Mungu ampe ridhaa ya kutuongoza, aondoshe hila zote za wizi na.kuhujumu.uchaguzi
  10. A

    JamiiForums Tanzania Naona donge kamnunulia mumewe shati

    Huo ni mfano.tu ndugu yangu, kuna vitu vingi sana
  11. A

    JamiiForums Tanzania Naumbuka! Nina Kibamia na nawahi kufika kileleni

    Fanya mazoezi kama ulivyoshauriwa, jiamini, kula vyakula vya asili, usisahau matumizi ya asali na mdalasini kila siku
  12. A

    JamiiForums Tanzania Naona donge kamnunulia mumewe shati

    Wanawake tuache uchoyo bana, kuna raha yake kumnunulia mpenzio zawadi. Mi si mjuzi sana wa nguo za kiume ila huwa nadesa kwa wanaume wengine nikiona wamevaa kiatu au shati zuri lazima nikisake madukani kama hela inaruhusu au kama staffmate wangu namuomba ana nisinfikiza naenda nunua. Zawadi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kwako Masai Dada, mwanamke/mke wa mtu yupo tayari kwa kila kitu mbele ya pesa

    Sio kweli, yaani nijidhalilishe utu wangu kisa pesa
Back
Top Bottom