Naona donge kamnunulia mumewe shati

Naona donge kamnunulia mumewe shati

Ninachomfurahia Hata Akasirike Vip,ukimto.Mba Mnakua Mmemaliza Ugomvi.
 
Hahaha!
Siku moja nilimnunulia sendo na mkanda!
Hadi alisema hujachagua wewe!
Na ni kweli mkaka wa ofcn alinisaidia:kuchagua! Ikabid nikubali kuwa kweli mtu alipitsha hao wakaka walikuwa wananunua na wao ndo wakanishaur kuwa ni vizuri!

Kesi ikaja! Mazoea na wanaume sitaki!

Cha ajabu ndo mkanda wake mkuu!

Aisee wanaume tuna shida sana.
 
Wanawake tuache uchoyo bana, kuna raha yake kumnunulia mpenzio zawadi.

Mi si mjuzi sana wa nguo za kiume ila huwa nadesa kwa wanaume wengine nikiona wamevaa kiatu au shati zuri lazima nikisake madukani kama hela inaruhusu au kama staffmate wangu namuomba ana nisinfikiza naenda nunua.

Zawadi huongeza upendo atiii, hata mpezio ukimuomba hela anatoa tuu maana anajua zitamrudia.

Ila nyie ambao ni bahili acheni basi mnatukatisha tamaa
 
Kumnunulia mume vitu sio lazima iwe shati ama suruali. Kuna vitu vidogo muhimu sana kama underwear including vests, handkachiefs, socks. Unaweza kununua pia wallet na uturi. Shati ni rahisi lakini sarawili ama suti ni mtihani, same for viatu.

Well, mie huwa sioni kama ni zawadi, naona kama ni sehemu ya wajibu tu. labda kwa vile nae anawajibika sana na matunzo. Mwanaume hajitambulishi, kuna mambo ambayo hasubiri kuombwa ili afanye. Kutokuwajibika ni kama kilema flani hivi

Huo ni mfano.tu ndugu yangu, kuna vitu vingi sana
 
nishasahau kununua boxer na sox,show yote ya boxer zangu na sox huwa inasimamiwa na "mayi waifu wangu".

Hii naikubari sana unanikumbusha mdogo wangu show yte ya pichu na viatu alikuwa anaisimamia yy yaan karibu 6 year demu wake alikuwa ajui bei ya pichu wala viatu jamqa alikuwa anamletea tuu yaan ilikuwa poa xna mpk nkawa nagezaaa
 
hahahhaha shati ya elfu 10 unaona wivu hahahha jinunulieee mpelekee mkeo akupe kama zawad
 
Aah wewe umenisahau me team "some little things matter the most". Tatizo sasa mume wangu Paulo taste ya Vitu vyake mmmh nilikoma mwanzoni, ila sasa hivi nimeshamjulia

Safi sana, kumbe tayari umeishabinafsishwa, nilikuwa sijui aisee
 
Sijui kama amewah hata kufikiria kunipiga! Hajawahi na I hope haitokaa itokee!

Uzuri namjulia so hata awe na hasira vipi nusu saa kubwa utamkuta anacheka! !

Na mtu mwenyewe kanikuta! Sijawahi hata mnunia hata afanye kituko gani!

Naanza kuhisi we ni mke wangu...

Hii JF hii....
 
mtu mwenyewe hadi akufumanie ndo unampa zawadi yakuombea msamaha unategemea yeye atakupa sahau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom