tunaishi nao lakini sio watu kabisa.
Usiseme hivyo sio wote
tunaishi nao lakini sio watu kabisa.
Yes ni wa ndoa tulifunga ya bomani.......
Shida ya wanawake wengi ni kuwa akishapata Nguvu za kiuchumi tu tayari anadhani yeye na wewe mnalingana katika kuongoza familia, anasahau kuwa mwanaume ni mwanaume tu na ndiyo kichwa cha familia (kwa mujibu wa maandiko matakatifu) hivyo huyo mkeo alianza kuzuzuka baada ya kupata Kazi huko TRA na kuanza kulamba mpunga.Shame on her! NB: Mchango wangu huu nimeutoa nikiamini kuwa ulichoandika ni ukweli vinginevyo ningepaswa kwanza kumsikia na mkeo anasema nini kuhusu hiyo issue.
Ni namna ya kumuonyesha kuwa sijaridhishwa na mwenendo wake.......na ni njia ya kistaarabu ya kumuelekeza mwanamke .......ningemtoa yeye isingekuwa ustaarabu hata kama kanikosea......
ni kweli ndumilakuwili ni traitor ila nawe una kaubishi bro! ukiwaambia watoto wako nyumbani ni marufuku kula sukari na atakayekula atachapwa viboko vitatu halafu mtoto wa kwanza akala ukamchapa, wa pili akala ukamkanya kwa maneno hapo utakuwa umekuwa na double standards. Yaani kanuni hiyo hiyo moja unai-judge tofauti. Sasa mbona kama unaonyesha kuwa mkeo tu ndo anahitaji kupelekwa "unyago" kufundishwa mambo ya ndoa? We nae unahitaji shule usijione umesimama.Hapana si kweli.......ndumi la kuwili ni traitor...........mtu ambaye anashika jambo moja huku anataka kufanya jingine........kama unataka kuhakiki naomba ugoogle hilo neno utapata tafsiri yake mtandaoni.........double standard kama linavyojielezea lina maanisha kuzidisha kiwango......au kupitiliza.......mifano ipo mingi kuelezea double standards......
Yes brother .......ndiye yule yule.......ndio nakomaa naye hapa .......ndoa ni ngumu ndugu yangu ..........bado ananiletea majaribu ingawa sasa hivi ni mizaha mizaha tu......tofauti na kipindi kile........yule jamaa alinijia na polisi.........kunishtaki kwa uharibifu wa mali......polisi m'moja aliyekuja naye ni mwanangu hivyo nikaitwa tu kituoni bila kukamatwa kwa shurti......tulipofika kituoni nikaambiwa niandike maelezo......nikasema sawa nitaandika kwa sharti moja......mke wa yule mzee aitwe awe shahidi katika hiyo kesi......mbona mzee aliingia mitini maana alijua hiki kisanga kikimfikia mkewe ni inshu so kesi ikapotea kisela hivi hivi.
ur genius bro ume solve ipasavyo.....wanawake ni hamnazo tatizo wametuzaa tu .tungekua tunatoka kwenye MITI au MATRANSFOMER mbona wangeelewa KAZI
nakushauri usiendelee kupoteza mda mpe mimba ndugu kabla haiajwa too lateHapana bado hatujatafuta mtoto tunavuta muda kidogo tuwe na kwetu kabisa two to three years from now.........mtoto acheze kwenye sebule yao sio ya kwa watu.........ndio inakwenda mwaka wa tatu now.......but we r together tokea 2007........
Jeuri hii ni ya chekechekea best........huyu anajua kwa jinsi nilivyotoka naye mbali akileta za kuleta atajitia mikosi maana nimem'badilisha kwa mengi na kuvumilia utoto mwingi ..........sasa anajua yupo na mtu mzima......
Ngoja nikupe siri......unaona ni kwanini huwa tunawapenda mama zetu ni kwasababu ni wanawake ambao walijitoa kwetu.......sasa hata wewe utakapojitoa kwa mtu na kumvumilia kwa yote......siku unapokuwa mbali na yeye atahisi sehemu ya maisha yake inatoka..........ndicho nilichomuonyesha.......
wanawake sometimes ni pasua kichwa, basi tu
ur genius bro ume solve ipasavyo.....wanawake ni hamnazo tatizo wametuzaa tu .tungekua tunatoka kwenye MITI au MATRANSFOMER mbona wangeelewa KAZI
Mkuu pole sana, bora wewe umeoa...maana mimi imenitokea hali kama yako kidogo yangu tofauti maana mimi nilikuwa na gf ambae nilimvumilia mpaka kamaliza chuo baada ya kufanya kazi 7 month ikabidi niache kazi baada ya kupata scholarshp kupiga masters ya Engineering hapa hapa Bongo.
Ikabidi nimpush dogo akapige masters au akapractise law hahahahaha... akapata sehemu kupractise hizo mambo yao wakawa wanampa posho kama laki 3 si akaanza kuleta dharau
Nikajitahid kumuweka sawa nikashindwa ikabid nimwambie bora uende maana usije kunitoa kwenye reli nikashindwa kumaliza ata hii masters kwa stress ambazo hazina msingi...sometimes hawa dada zetu sijui wanakuwaje