Kwanza ni experience nzuri kushuhudia mkeo akijifungua na wewe kuwa wa kwanza kukishika kichanga, nilishasema wangu sitaki aende kwa mtu kujifungua. Nakaa nae hadi nione kazi ya mikono yangu na Mungu wangu!!
Wewe starehe yako series, starehe yake mbunye, kuna ubaya gani? Usitake kulazimisha maisha unayoishi wewe kila mtu aishi.
Kama hufanyi ngono kina siku ni matatizo yako, wengine sisi ni 24/7, 366 other things remain constant.
mmmh unayawazia kila siku haiwezekani kila sku uwaze kutombana tuu kila siku jikeep buzz na naimani hiyo hali hautakuwanayo, unaweza ukachepuka tu na ukimwi juu ukamuua mdada wa watu bila hatia yoyote mwanaume jithamini,jiheshimu tafuta hela kumbuka ameenda akija watakuwa wawili na wew ndo baba so think twice before you make any action
mkuu usifanye punyeto ni mbaya kiafya utaua misuli yako ya uzazi taratibu afta sometimes ngoma inaanza kusinzia tafuta dem piga mara moja moja tell her no commitment asije kukusumbua!
Piga punye huku akilini mwako unaimagine sura na umbo la mchapuko unaoutakaWadau,
Mim ni mwanaume mwaminifu sana ndani ya ndoa yangu.Sijawahi cheat tangu nianze kuisi na huyu mwanamke mwaka jana mwez wa6.Kwa sasa mkewangu ni mjamzito na nimemsafirisha akajifungulie nyumbani sababu huku tulipo hakuna msaada wowote wa mtu wa karibu kama unavojua masuala ya uzazi.Sasa ni wiki tangu nimsafirishe mke wangu.Ukweli nimemmiss na nimekianza hiki kitabia cha punyeto.
Jamani napiga punyeto kilasiku.Sasa wadau hua nasikia hii kitu inamadhara fulani sasa naombeni ushauri maana asije akarudi wife akakuta sifunction tena.Sasa niendelee au nitafute mchepuko niwe najiliwaza nikimiss mambo fulani kipi bora?
Nitafurahi zaidi wanawake mkijitokeza kunisaidia kwa wingi.Assume ndo mumeo sasa na upo mbali nae.
Afanyaje? Ukizingatia wife anatarajia kurudi mwakani mwezi february
lakini inakuwa na yule yuleMiss chagga....... Unaafiki hii kitu.....????? Lakini mwisho wa hiyo kitu silazima ninyetuke tu jamani
Fanya bidii uache nyetoAsante kaka..... Kwahiyo bora niendelee tu....????
Hapa napata wasiwasi, inaelekea unauzoefu na michepuko. Ndo maana nakushauri uende kwa wale wanaojiuza unanunua mara moja kwa wiki au wiki 2 then unapiga hadi unatoa povu. Unampa chake na kwa vile hamjuani hawezi kukufatilia. Au uka kijijini Mkuu?Kaka hawaelewagi hawa....... Akirudi tu wife zinaanza simu za usiku