Recent content by Angrybil

  1. Angrybil

    JamiiForums Tanzania Nimedisco, msaada wenu please!

    mkuu anga haina utapeli wala haina mchezo fuatilia mwenyewe, unakijua hicho kitu ICAO( International civil aviation organization) headquarter Montreal
  2. Angrybil

    JamiiForums Tanzania Nimedisco, msaada wenu please!

    mkuu ada milioni 2 laki 3, ni miezi 3 tu, terminal 1 chuo civil aviation training center, hutojutiaa
  3. Angrybil

    JamiiForums Tanzania Nimedisco, msaada wenu please!

    sikiliza mkuu achana na hicho chuo, hamia chuo chengine au kasome aviation ule zako maisha. karibubi tu uwanja unafunguliwa kazi kibao,, mm nilidisco degree now nimegraduate flight operation officers/ flight dispatch. likuepukalo lina kheri na ww
  4. Angrybil

    JamiiForums Tanzania Man Utd atakufa 3-0 Stamford Bridge

    Sema sasa ww kilaza na hazard majanga yako, sio unaropokwa tu. nani alokuwa na pressure, timu gani ina vikombe vitano vya ligi, halafu mdomo mwingiiii hahahahh
  5. Angrybil

    JamiiForums Tanzania Man Utd atakufa 3-0 Stamford Bridge

    sawa mungu mtu matokeo ushayajua, huyo jogiminyoo ndio nani hana hata brand. na matokeo usisahau kupost
  6. Angrybil

    JamiiForums Tanzania SINGAPORE: Serikali yaondoa mfumo wa madaraja(Division) katika mitihani, yasema elimu sio mashindano

    Karibuni aviation industry, huku hakuna matabaka muhimu leseni tu
  7. Angrybil

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania, mmeamua kunyonya watu baada ya kushindwa kufanya biashara ?

    zantel GB 16 elf 10 per month.... hahahah
  8. Angrybil

    JamiiForums Tanzania Tabia mbaya ya wavuka kwa miguu kwenye kivuko cha pundamilia

    Hahahahahah una darubini kaliii
  9. Angrybil

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji uendanao na tochi za usalama barabarani

    dah km camera man unapiga shooting ya film hahahahahah
  10. Angrybil

    JamiiForums Tanzania Nimehama rasmi Manchester United na kujiunga na Liverpool

    Man Utd hata wacheze na walemavu saa 8 usiku naangalia lakini kuwe na fainali ya Barcelona na Real Madrid au wengine wakubwa siangaliiiii, utd damuuuu
  11. Angrybil

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi mwenyewe au na nyie wanaume wenzangu inawatokea?

    Me nadhani huyo kabla ya kumuoa alizoea kuazima nguo za shoga zake, sasa hiyo tabia inampa shida kwa sasa. Cha kufanya mpe likizo aende nyumbani na nguo zake tu then muangalie atavaa za watu wengine?
  12. Angrybil

    JamiiForums Tanzania Kufanya Hivi kwa Ajili ya Mwanamke ni Uzuzu

    Jamani eeeeeeh Zuzu nipoooooo
  13. Angrybil

    JamiiForums Tanzania Mjue Alinacha na ndoto yake

    Assalam alaykum, humu ndani.... Hiyo story ndio ileeeee, hadithi hadithi uongo njoo ushankoleaaa
  14. Angrybil

    JamiiForums Tanzania Jibebe ya WCB ibebwe tu na BASATA

    Hello guys....... Hizo ni lugha za ushairi. so, msikilizaji au mtazamaji atajua mwenyewe atavyotafsiri..... kichwa cha kanga hakipikwi supu...
Back
Top Bottom