Nimedisco, msaada wenu please!

Nimedisco, msaada wenu please!

hahahahaaaaaaa sa we jamaa unatupotezea muda kumbe hata Uongozi haujautaarifu na upo eneo la tukio. yawezekana wamekosea uchapaji. anza nao ndo uje huku
Karatas ni zakutoka nacte hazikuchapishwa upya ndio maana naliona hili jambo co la hapa ndio maana hata wale matokeo yao yamekua retained wamefuta tu na Marker..

Co kwamb ctakwenda kuuliza, nikipata uhakika kwamb haiwezekan nitaanza kuulzia hpa nakuendelea.

Ctak kujiingiza katka hili kabla cjapata uhakika wa ninachofanya.
 
Ninaamin kabisa hapa kuna wat wenye uelewa wa haya mambo ndomana nmekuja kupata mawazo yen.. Sitak kukurupuka!
 
Wakuu mimi ni mwanafunz wa diploma mwaka wa pili kozi ya maabala. Kilichonifany niombe msaada kwenu ni kwamba inawezekana mtu akawa na gpa ya 2 na akadisco?

Nahitaj yeyote mwenye kufahamu juu ya hili anisaidie, npo dilemma!
Yaani maabara tena diploma unadisco,tena kama uko DIT ni bora wamekula kichwa
 
sikiliza mkuu achana na hicho chuo, hamia chuo chengine au kasome aviation ule zako maisha. karibubi tu uwanja unafunguliwa kazi kibao,, mm nilidisco degree now nimegraduate flight operation officers/ flight dispatch. likuepukalo lina kheri na ww
 
Ada yake vp.. Miaka mingap
 
mkuu ada milioni 2 laki 3, ni miezi 3 tu, terminal 1 chuo civil aviation training center, hutojutiaa
 
sikiliza mkuu achana na hicho chuo, hamia chuo chengine au kasome aviation ule zako maisha. karibubi tu uwanja unafunguliwa kazi kibao,, mm nilidisco degree now nimegraduate flight operation officers/ flight dispatch. likuepukalo lina kheri na ww
Unampoteza dogo ...
 
Kwa baridi ya haydom braza itakuwa umezidisha zile mambo...na wairaq wanavyopenda ukasahau ata kusoma

Anyways pole sana kudisco ni mpk uwe na GPA ya 2.0

Ndo ikogi hvy][/COLOR]

Kwenye red, kuna dogo langu ana GPA ya 0.8 ngoja nikampe habari njema kuwa kudisco hadi upate GPA ya 2

Kwenye blue,hiyo ni lugha ya wapi?

Mnakwama wapi wasomi wetu kwenye uandishi na kujieleza?
 
Wakuu mimi ni mwanafunz wa diploma mwaka wa pili kozi ya maabala. Kilichonifany niombe msaada kwenu ni kwamba inawezekana mtu akawa na gpa ya 2 na akadisco?

Nahitaj yeyote mwenye kufahamu juu ya hili anisaidie, npo dilemma!
Omba upewe curriculum uisome vizuri.
Btw ndio inawezekana in some situations.
 
Kwa mwandiko huo hata mimi ningekudiskisha
Jina la course yako tu huwezi kuliandika eti maabala GPA yenyewe unayoililia ni ya 2.0
Mungu akupe nini tena ushapata nafasi yako ukaichezea.
Lakini si umeelewa???? mbona watz wengi especially wanaume wamechukua Tabia za like tu huo ni ukike
 
mkuu anga haina utapeli wala haina mchezo fuatilia mwenyewe, unakijua hicho kitu ICAO( International civil aviation organization) headquarter Montreal
 
Jinsi ninavyofaham nikwamba mtu kudisco mpaka uwe na gpa chin ya 2 kwa mujibu wa Nacte.. Sijajua kama kuna sheria mpya ndomana nikauliza

Ninavyofahamu kudisco kuna vitu vingi siyo GPA pekee
 
Back
Top Bottom