Upotoshaji uendanao na tochi za usalama barabarani

Upotoshaji uendanao na tochi za usalama barabarani

Nadhani umekurupuka tu kukumuelewa mleta mada!!kwani mala ngapi mtu yupo kwenye hiyo spidi 50 kulingana na alama ya eneo husika lakini anafika mbele anaambiwa alikuwa spidi 56?!!

Mwenye gari manual na milage inasoma 50km anyoshe kidole juu
 
Eneo lolote lenye makazi ya watu au mbugani hata kama hamna kibao unatakiwa utembee speed isiyozidi 50.

Huu ndiyo ule ubabaishaji wanapovunia zile za brashi ya viatu. kwanini iwe vague, maeneo ya watu si waweke vibao?

maeneo yaliyo mengi pembeni ya barabara yana makazi ya watu lakini si yote yenye 50km/h.
 
Mkuu kwani kona zote kali zina kibao cha 50? Mbona ukifika unapunguza mwendo?

Mwenyewe kama dereva mwenye elimu kuna maeneo unatakiwa ujiongeze tu, sehemu nyingine unakuta vibao vilikuwepo ila vimegongwa au vimeubwa.

Subiri siku wakudake uanze kubishana nao badala ya kuchukua tahadhari kabla ya hatari
 
Nadhani umekurupuka tu kukumuelewa mleta mada!!kwani mala ngapi mtu yupo kwenye hiyo spidi 50 kulingana na alama ya eneo husika lakini anafika mbele anaambiwa alikuwa spidi 56?!!

shukurani kumfahamisha yaonesha hayajamkuta na anadhani wanaosema kwa ufasaha wote ni kuwa wanaota. aisifiae mvua immnyea.
 
Mkuu kwani kona zote kali zina kibao cha 50? Mbona ukifika unapunguza mwendo?

Mwenyewe kama dereva mwenye elimu kuna maeneo unatakiwa ujiongeze tu, sehemu nyingine unakuta vibao vilikuwepo ila vimegongwa au vimeubwa.

Subiri siku wakudake uanze kubishana nao badala ya kuchukua tahadhari kabla ya hatari

bandiko lako halionyeshi seriousness ya kinachoongelewa. kumbuka tunaongelea faini barabarani, tochi za barabarani viz a vis upotoshaji ulipo unaopelekea manung'uniko.

review mada tafadhali.
 
Eneo lolote lenye makazi ya watu au mbugani hata kama hamna kibao unatakiwa utembee speed isiyozidi 50.
Si kweli!
Mbugani ni 70km/h mchana na 50km/h usiku,
Hiyo sheria inayohusu kutembea 50km/h ilishaprove failure , kwa kuwa so rahisi kujua makazi yanaanzia wapi na kuishia wapi, hasa kwa dereva mgeni, kwa maana hiyo ilionekana vibao ndio kipimo sahihi cha mwanzo na mwisho wa makazi , Ndo maana hutofautiana urefu baina ya kijiji na kijiji,
 
ndo akili zao zilipofikia. Huo ndo ubunifu.badala ya kutafuta means ya kutoa elimu na mafunzo ili kupunguza ajali wanajificha kupiga tochi.
 
Kweli mkuu! Kwa uzoefu wangu kidogo ukizidisha hata 5 to 15 miles sio mbaya ila bongo ukizidisha hata speed 1 tu wamekudaka

Ndio maana nikiwa bongo siendeshi kabisa. We speed limit 80km/h highway tutafika kweli? Unajua hiyo ni speed limit ndani ya uwanja wa George Bush international(55miles/hr). Hiyo 55km/h sehemu zingine highway bongo ni sawa na speed limit ndani ya universities kubwa kama kama Purdue, Michigan, Tennessee etc. Texas kuna mpaka 75miles/hr sawa na 120km/hr lakini unazoom mpaka 80miles/hr hata husimamishwi. Unaweza kuendesha gari miaka 10 USA hujawahi simamishwa na polisi hata siku moja.
 
Polisi wa nchi za wenzetu wapo vizuri sana! Wanajua nini wanafanya na hawaweki sheria kwa ajili ya kumkomoa mtu bali kumsaidia! Ni mwaka wa 4 now naendesha gari sijawahi kusimamishwa na polisi
 
Pangekuwa na nia njema, polisi hawakupaswa kujificha, na sheria za barabarani zingekuwa uniform kwa watu wote. Zisingetambua STL wala PT.

Vile vile kwa hoja zao zisizokuwa na mashiko, na huko bank si wajifiche ili majambazi wadhanie hawapo ili wawakamate?

Palipo na nia njema twaona matangazo hata ya kuwapo mbwa wakali, kuwapo mitambo maalumu ya kuzuia wezi, kutegwa umeme nk.
Magari ya polisi yanakngoza kwa kuvunja sheria wanaovertake kwenye solid limes, wanaenda zaidi ya speed limit, wanapita wrong side, wana uturn sehem isiyo ruhusiwa , hawasimami zebra..ninjanga kubwa sana
 
Polisi wa nchi za wenzetu wapo vizuri sana! Wanajua nini wanafanya na hawaweki sheria kwa ajili ya kumkomoa mtu bali kumsaidia! Ni mwaka wa 4 now naendesha gari sijawahi kusimamishwa na polisi
Basi huna Leseni licha ya kutoendesha gari
uli-renew vipi leseni bila hata ya kuwaona
Dereva yoyote ndani ya miaka mi4 lazima utakaguliwa anagalau mara 4 na kupewa stika za usalama barabarani
Labda gari la Ofisi au POLISI, hatukatai Traffic ni dugu moja kwa sisi wa Long safari ni lazima kusalimiana nao hasa tunapofika kwenye Barrier / mageti km Dumila, Dakawa Mtungutu nk kujua usalama wa huko tuendako na wao wanatuuliza tulikotoka na wanajiridhisha hata kukuomba Leseni. Duh sijawahi maliza safari bila kuonesha leseni na huwa sina makosa
 
Back
Top Bottom