Recent content by angelwilfred

  1. angelwilfred

    Mfanyakazi wa kuuza duka Anahitajika

    I mean la nguo au la nn
  2. angelwilfred

    Mfanyakazi wa kuuza duka Anahitajika

    Duka la nguo za aina gan
  3. angelwilfred

    Nafasi za kazi-ABS

    Kusambaza kwa maduka(lejaleja)au kwa kila nyumba
  4. angelwilfred

    Nafasi kujiunga na jeshi

    Mwisho n miaka 23 kwa aliye n ngaz ya fm 4 au 6 bt km una advance diploma ht ukiwa n miaka kuzidi 23 unaenda kaz kwako hapo
  5. angelwilfred

    Dawa ya kuongeza nguvu za kike

    Ushawamaliza wachaga wote wa kike pka useme ivyo
  6. angelwilfred

    Dawa ya kuongeza nguvu za kike

    Mnaosema anawaza pesa mnauwakika kila mchaga anashida na hela au??? Cku iz kila mtu anapenda pesa ht we mnyaru ukiangushiwa ela hapo utaziludisha??,,,,,,,, mi n mchaga na ninajivunia na kileleni nafika na nikiienjoy labda awe na shida za kiafya c pesa
  7. angelwilfred

    Namna ya kutibu magojwa ya tumbo kujaa gesi na kutopata choo

    Nilikuwa km ww kwnda kuchek afya n vidonda vya tumbo ila kwa ushauli,kachek afya ila ukumbuke vi2 vitakavyokusaidia acha kula maharage au jamii ya kunde,machungwa,nanasi,embe,pilpil na ndimu,ndiz mbivu na za kupika pia n nyama nyakundu km mbuz n ng'ombe na zingatia kula matunda km...
  8. angelwilfred

    Nafasi za Kazi

    Kampun za kutembeza chupa za chai peleken uswaz
  9. angelwilfred

    Msaada juu ya kupata ajira kutokana na vigezo hivi nilivotoa

    N kwel!! Hutaambulia ki2 zaid y kuombwa mambo uku ukiadiwa na ukitoa ahadi imeisha
  10. angelwilfred

    Tuige hii desturi ya wachaga

    Wanasema mchaga n mbahili ila la hasha!! Anabana bajeti ili kila sector pajitosheleze!! Nashukur kwa kuwa mchaga
  11. angelwilfred

    NATAFUTA cHuO.....MsAaDa.....

    Hicho chuo kipo mabwepande
  12. angelwilfred

    Miguno ya kimahaba

    Mmmmh!!!! Hy
  13. angelwilfred

    Hongera tunazopewa na Ex huwa za kweli??

    Anatoa hongera ila roho yamuuma
  14. angelwilfred

    Hi

    Hii karbu
  15. angelwilfred

    Nahitaji Flat screen 32 inches.

    Km waitaji samsung sema nikutumie no umtafute m2 wa masoko akuleteee
Back
Top Bottom