Dawa ya kuongeza nguvu za kike

Natafuta dawa ya kuongeza nguvu za kike kwa ajili ya mpenzi wangu. Hivi karibuni nimepata mpenzi mpya, mtoto wa kichaga, mrembo kweli kweli. Figure, color kila kitu kimetulia na shule imelala.

Tatizo ni kwamba hafiki kileleni. Nimetumia uzoefu na ujuzi wangu wote lakini tumekutana mara 3 hadi sasa na zote katoka kapa. Ameniambia anatamani afike kileleni, lakini nimejitahidi kufanya kila kitu kinachowezekana lakini wapi.

Binafsi sina matatizo yoyote na haijawai kuwa kazi kubwa mimi kumfikisha mwanamke kileleni, ila huyu nimenyoosha mikono juu. Nafikiri atakuwa na upungufu wa nguvu za kike. Jamani mwenye dawa naomba anielekeze maana sitaki
kumpoteza huyu binti, lakini kama hali itaendelea hivi bila kupata dawa basi huwenda tukaachana.

Pole mkuu ila mkeo inaonesha musuli wake wa PC ni dhaifu kunauzi nimeutupia kwenye jukwaa hilihili nimeandika namna ya kufanya mazoezi ya musuli huu wa PC ufuatilie na uusome utakusaidia sana..
 
Back
Top Bottom