Mfanyakazi wa kuuza duka Anahitajika

Mfanyakazi wa kuuza duka Anahitajika

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,981
Reaction score
3,635
Habarini wakuu, Nahitaji mfanyakazi (mwanamke) wa kuuza duka maeneo ya sinza. Awe na uzoefu wa kuuza duka, Sharti kubwa awe mkazi wa sinza au maeneo ya karibu na sinza.
 
Fursa hii watu wazichangamkie


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Saa mbili Asubuhi mpaka Mbili usiku?My Goshh
Kwa mshahara wa kiasi gani.
Maana mfanyakazi kama huyu hatokuwa na muda wa kujiendeleza na wala wa kufanya shughuli nyingine ya kuongeza kipato.
Lazima mshahara usiwe chini ya Laki nne kwa mwezi.
Maana hapo inabidi chakula cha mchana,usiku ajinunulie kwa muda huo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom