Hahah,,eva na ww.. huo ni mchanganyiko wa vyakula mbalimbali km muhogo,palachichi,ndizi,epo,tango n.k
ha ha! hiyo miguno inawanyima raha sana wapangaji ambao nyumba zao hazina sling board au gypsum
Kudadadeki kweli kwa huo mseto ukila lazma ugune
Teh,,umeona eeh,,ni vitaa!
We unaionaje hii makitu wakati wa kulana mauloda?
Mi naona inaongezaga mzuka flani hivi
Vipi kwako wewe ina mzuka au inazingua tu?