Mechi ziliyotunyima ubingwa zilikuwa dhidi ya Crystal Palace 3 - 3 na West Bromwhich 1- 1 makosa ya Kolo Toure kumzawadia pasi Victor Anichebe na kusawazisha goli.
Bobby ni mzembe sana uwanjani,hayupo makini, anapoteza mipira hovyo na hawezi kupambania mipira.Gomez ni mzuri ila nafasi imekuwa finyu kwake,ni bora kutolewa aidha kwa mkopo kwa ajili ya kupata nafasi na kuboresha kiwango chake.
Historia kaiweka kwa kuwa mchezaji wa kwanza kutokea Tanzania na si A.Mashariki na kati kwani Mkenya Victor Wanyama alishafunga goli dhidi ya Liverpool fc wakati akichezea Spurs.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.