Recent content by andrew henry mwamba

  1. A

    Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

    kweli wewe huna akili wewe unaweza kumwacha mama aako akapata matatizo japo nikichaa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. A

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    umemsahau mwambe kaamia ccm lakini anaiwakilisha chadema pia spika bado mgeni bungeni ndio kwanza anajifunza kanuni acha liende tuu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. A

    Uwongo wa mchana wa Prof. Kabudi kuwa dawa inagawiwa na Rais Madagascar kumbe ipo hadi madukani

    kesho ninakazi yakupima mapapaiyangu kabla sijayapeleka sokoni Sent using Jamii Forums mobile app
  4. A

    Historia ipo kututukumbusha mengi, kiburi hakisaidii

    lakini yote haya anaepaswa kulaumiwa nihuyu bwana mkapa ndio alie mpigia kifua sana bwana jon Sent using Jamii Forums mobile app
  5. A

    Hii itakuwaje baadaye?

    kiukweli akimgegeda vizuri mbona atampenda Sent using Jamii Forums mobile app
  6. A

    Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

    ngoja tuone Sent using Jamii Forums mobile app
  7. A

    Uamuzi wa wabunge wa CHADEMA kutohudhuria Bunge na kujiweka karantini ni sahihi kabisa

    nashukuru kwakunipa pole Sent using Jamii Forums mobile app
  8. A

    Uamuzi wa wabunge wa CHADEMA kutohudhuria Bunge na kujiweka karantini ni sahihi kabisa

    umesema madaktari kwanini hawakimbii kuwatibu wagonjwa wenye corona sio sawa hao niwatu wenye taaruma ya afya kabla hajafanya kitu lazima wahakikishe usalama wao kwanza ndio maana wanamavazi maalumu yakujilinda kabla hawajamuudumia mgonjwa ndio maana wapinzani waliomba wabunge wote wapimwe ili...
  9. A

    Uamuzi wa wabunge wa CHADEMA kutohudhuria Bunge na kujiweka karantini ni sahihi kabisa

    kwahiyo unataka wabunge wafe kisa kufuata posho bungeni sindio Sent using Jamii Forums mobile app
  10. A

    Uamuzi wa wabunge wa CHADEMA kutohudhuria Bunge na kujiweka karantini ni sahihi kabisa

    kwakua nina akili nyingi kuliko wewe kichwa tikiti unaekula kwamagoti nilazima ushangilie upuuzi ili uwishi kwahiyo sikushangai Sent using Jamii Forums mobile app
  11. A

    Uamuzi wa wabunge wa CHADEMA kutohudhuria Bunge na kujiweka karantini ni sahihi kabisa

    MAKADA WENZANGU WA CCM Nimefuatilia kwa ukaribu sana majadiliano na mabishano yaliyopo sasa kwenye mitandao.haya ni mawazo yangu huru 1.Tumekosa mwelekeo kukitetea chama chetu,,tunawajibu wenzetu wa upinzani kwa hoja nyepesi,tumejikita zaid kuwashambulia kwa matusi badala ya kujibu hoja zao...
  12. A

    Nina gari yangu vitz imeanza kuishiwa maji na kuchemsha

    nenda kwafundi ndugu humu utapata wapiga lamlitu hautiopata jawabu la taztizo la gari yako Sent using Jamii Forums mobile app
  13. A

    Pompeo aishambulia China kwa kuziwekea nchi maskini mzigo mkubwa wa madeni

    Watashindwaje kumiliki malizetu waati tunakopa sana Sent using Jamii Forums mobile app
  14. A

    Kwa yaliyotokea kwa Kangi Lugola kuna funzo kubwa

    Abdu unaongea vitu vyamsingi sana tatizo wanao changia hii maada akilizao zimekaa kiunoni Kama kang Sent using Jamii Forums mobile app
  15. A

    Musukuma na Kibajaji wana lengo la kumnyamazisha Cyprian Musiba kwa maslahi ya makundi ndani ya CCM

    duuuu mashimo nimchungaji mzalendo kweli hii kiboko kwahiyo muombewaji hapo nimusiba duu hayao maombi moja kwa moja yanapokelewa na shetani
Back
Top Bottom