Hii itakuwaje baadaye?

Hii itakuwaje baadaye?

Nina mahusiano na mwanaume ambaye tupo shule moja, anaonesha kunipenda sana ila mimi nipo naye kwaajili ya kupunguza stress zangu tu ila nawaza siku akiomba mzigo sijui itskuwaje

Shule zikifungiliwa kama stress zitakuwa zimeisha nitamwacha ila saizi tunatumia masaa mengi kuongea na simu

Shida ni kwamba mimi sina hisia nae za kimapenzi kutokana na sababu mbalimbali ila ana show sana love kwangu.
Utakuja kurudi kwake na magoti,
 
Please take your time. You are still in school.

Don't rush, haya Mambo yapo tu.

Wanaume hawachuji. No matter what age they are.

Ila sisi, even without giving birth tunachuja.

Don't rush. I repeat. Haya Mambo yapo Sana. The older and more understanding of your body you are, the better it gets.
 
Utakuaje huna hisia na binadamu ambae mnaongea kwenye simu sana...

Hata huna haja ya kufikiria pale atakapokuomba mzigo itakuaje, utajikuta tu unagongwa kimasihara...



Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom