Nina gari yangu vitz imeanza kuishiwa maji na kuchemsha

black hawk87

JF-Expert Member
Jan 25, 2020
678
1,243
Habari ndugu

Nina gari yangu vitz imeanza kuishiwa maji na kuchemsha unaweza ukaweka maji ukaenda umbali flani ukicheki maji unakuta yameisha kabisa na kupelekea kuchemsha

Na pia ukiwasha ac ukienda umbali kidogo unakuta maji yameisha yote na gar inazima ghafla

Gari sijawah fungua injin Wala kuigusa tangu nimenunua

Ila Kuna kipindi nilikuwa natumia maji kama coolant

Naombeni ushauri wenu wadau

kilicho akilini kitumie
 
Kama gari inachemsha ina maana kuna shida kwenye coolong system. Inaweza kuwa feni ni mbovu, rejeta imetoboka, kifuniko cha rejeta kimekaa vbaya etc. Kikubwa muone fundi wa umeme wa magari maeneo hayo akuangalizie nini tatizo.
Habari ndugu

Nina gari yangu vitz imeanza kuishiwa maji na kuchemsha unaweza ukaweka maji ukaenda umbali flani ukicheki maji unakuta yameisha kabisa na kupelekea kuchemsha

Na pia ukiwasha ac ukienda umbali kidogo unakuta maji yameisha yote na gar inazima ghafla

Gari sijawah fungua injin Wala kuigusa tangu nimenunua

Ila Kuna kipind nilikuwa natumia maji Kama coolant

Naomben ushauri wenu wadau

kilicho akilini kitumie
 
Habari ndugu

Nina gari yangu vitz imeanza kuishiwa maji na kuchemsha unaweza ukaweka maji ukaenda umbali flani ukicheki maji unakuta yameisha kabisa na kupelekea kuchemsha

Na pia ukiwasha ac ukienda umbali kidogo unakuta maji yameisha yote na gar inazima ghafla

Gari sijawah fungua injin Wala kuigusa tangu nimenunua

Ila Kuna kipindi nilikuwa natumia maji kama coolant

Naombeni ushauri wenu wadau

kilicho akilini kitumie
Kwanini uliacha kutumia coolant na ukaamua kutumia maji kama kipoozesho cha engine yako? Hapa ndo huwa shida inaanzia kwa wabongo wengi na magari yao siku nikipata mda nitakuelezea umuhimu wa kutumia coolant kwa ajili ya kupoosesha engine na kwann maji hayafai
 
Sasa hayo linayochemsha yanatoka wapi wakati umesema limeishiwa maji

Hiyo coolant ni kusafisha njia za reguator tuu sio kwamba bila hiyo ndio gari litachemsha
 
Hivi unajua kazi ya coolant?
Kwanini uliacha kutumia coolant na ukaamua kutumia maji kama kipoozesho cha engine yako? Hapa ndo huwa shida inaanzia kwa wabongo wengi na magari yao siku nikipata mda nitakuelezea umuhimu wa kutumia coolant kwa ajili ya kupoosesha engine na kwann maji hayafai
 
Fuata yafuatayo!!

Kabla ya kuwasha gari weka maji na utazame kama yanapungua.
Yakiwa yanapungua tazama wapi yanapitia hasa angalia zile kava za rejeta ni za plastiki huenda zimeweka nyufa.

Kama hayapungui
Funika mfuniko na washa gari kisha piga less kwa muda kama wa dkk 5 hadi 10
Tazama mfuniko wenyewe au endelea kutazama kava.

Kama hayapungui,endelea kupiga less na sikiliza kama feni inapoza rejeta.

Tazama pia mtungi wa hifadhi ya maji kama unatunza maji ya kureplace au kupoza rejeta.

Angalia gear box yako inabadili gear inavyostahili!!!
Kama la badili geabox oil huenda injin na geabox haziwasiliani ktk mwendo.

Je rejeta ni safi??
Huenda njia zimeziba hivyo mzunguko wa maji ktk rejeta ni mdogo.
Asante.Mawazo yangu ni hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kwa fundi radiator mkuu hapo mimi ninayo Surf hua inasumbuaga hivyo hivyo ila mara nyingi mimi radiator hua inakua chafu maana njia zake za radiator ni nyembamba...mimi leo nilikuta maji yote yameisha kwenye coolant reservoir
 
Shukran mkuu

Shukran

kilicho akilini kitumie
 
Lingine unapotumia maji badala ya coolant kupooza engine unaifanya thermostat kupata kutu mwishowe kujam na kuzuia mzunguko wa maji

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema kweli. Kuna mtu namfahamu mafundi wake waliwahi kumrubuni akatoa coolant na kuweka maji ya uhai, kwa ushauri kuwa maji ya uhai ni mazuri kuliko coolant, wakati kumbe siyo. Kumbe walikuwa na mpango wa baadaye kuja ku-temper na engine ya gari yake, walishaisikiliza kwenye muungurumo na namna gari inavyotembea, wakajua injini ya gari lake ni nzuri sana. Kilichotokea baada ya kubadilisha coolant, water pump ilikufa ikabidi anunue nyingine, na hatimaye akarudi tena kwenye coolant. Sasa hivi walikuwa na mpango wanamshauri abadilishe Gasket za injini, wakati injini ina nguvu sana na haina tatizo jingine lolote. Mafundi hawa wana mtandao wao pia kwa kushirikiana na kule ambako huwa anafanyia service gari llake.

Kuwa mwangalifu sana na ushauri wa watu na baadhi ya mafundi, hasa wasiokuwa mafundi wa gari lako na unapoona gari lako lina tatizo, mpelekee fundi wako na usibadilishe mafundi wa gari. Uwe na fundi mmoja wa gari milele, na ufanaye service kwa fundi mmoja milele, usibadilishe
 
Back
Top Bottom