Recent content by andremg10

  1. andremg10

    Gavana Tutuba: Maisha Hayajawahi Kuwa Rahisi tangu mwanadamu alipoumbwa, fanyeni Kazi

    Neno sahihi lakini wakati siyo sahihi. Ushauri mzuri lakini si wakati wake hasa ikiwa ni muda ambao wanachi walio wengi hawaridhiki na utendaji wa serikali na ni wakati ambao hali ya gharama ya maisha inazidi kupanda huku hatuoni hatua stahiki toka serikalini. Ni sawa na kumwambia mtoto akazane...
  2. andremg10

    Yanayofanyika viwandani Tanzania ni utumwa. Kazi ngumu, maslahi duni. Serikali haina mpango na wananchi wake, inachoangalia ni kodi tu

    Hawa watu wa chama cha wafanyakazi na wakaguzi kutoka serikalini walikuwa wakifika kiwandani nilikokuwa nafanya kazi, lakini hawakuwa wanaonana na wafanyakazi badala yake walikuwa wanaishia ofisi ya HR wanapiga stori na muhindi kisha wanasepa huku sisi tukiendelea kupigika. Mbaya zaidi kile...
  3. andremg10

    Kuna haja kwa mamlaka husika kuangalia upya mikopo ya mitandaoni

    Una matatizo wewe, nani kasema nimewahi kopa kwa washen** kama nyie...mnapenda hela za harakax2, na mtatapeliwa mpk mnyooke. Mnatapatapa mmekosa mbinu za kuwawajibisha mlowakopesha 😂
  4. andremg10

    Kuna haja kwa mamlaka husika kuangalia upya mikopo ya mitandaoni

    Hiyo namba imeenda kwa idhini ya nani? na kaweka namba yangu kama nani kwake?. Watafute/kubotesha mbinu za kutafuta hela, hii ya kusema mikopo rahisi papo hapo ni uwongo, ndo maana wanaishia kutapatapa kuzunguka kwenye contacts za mtu na pili nadhani pia hawajaheshimu privacy ya mtu kwa kuaccess...
  5. andremg10

    KWELI Matumizi Makubwa ya Vinywaji vya kuongeza nishati (Energy Drinks) husababisha Madhara kwenye Figo

    Siku zote nimekuwa kinyume na unywaji soda pamoja na energy drinks.
  6. andremg10

    Rais Ruto awalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe kufuatia mlipuko mbaya wa gesi

    Kwa jirani yao hao maafisa wangehamishwa kitengo.
  7. andremg10

    Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

    Wote mna makosa, hukupaswa kumpa jina bila kujadili na mama, na pia Kama baba ake yupo pia alipaswa julishwa unless katelekeza mtoto. Ila mwishoni maamuzi yako yalikuwa vizuri, ulitenda kulingana na reaction yake kuonesha si wa kuaminiwa.
  8. andremg10

    Pindi ulipoingia shule ni tabia au matukio gani (nzuri na za mbaya) ambazo zilikufanya uwe maarufu?

    Shule ya msingi nilikuwa mpole mno, kiasi hata walimu walikuwa wananitenga wakianza kuadhibu wapiga kelele. Ila sekondari nilikuwa mtukutu, sikuwahi kosa kwenye majina ya wapiga kelele, nikawa nakuja shule saa mbili au nne kisha nasepa saa sita na njia yangu ya kutorokea sometimes ilikuwa ni...
Back
Top Bottom