Recent content by Amyner

  1. Amyner

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Kama unayo link ya group la telegram please share Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Amyner

    Meneja wa Peacock Hotel akamatwa kwa kutoa ukumbi kwa watu wanaohamasisha ushoga

    Astaghafirullah! Nakuombea usije pata mtoto shoga nahisi utameza matapishi yako
  3. Amyner

    BET's cypher: Eminem goes in on Trump

    Maybe a 60/40 but Oh well Em’s the GOAT tho
  4. Amyner

    Msaada sheria ya Ardhi (kifungu husika)

    Habari wandugu, Naomba wanasheria mnisaidie kama kuna kifungu chochote katika sheria ya ardhi kinachosema mtu anapouziwa eneo ni lazima kati ya mashahidi wawe watu wanaopakana na muuzaji. Pia naomba kama kuna mtu ana contact ya mwanasheria mzoefu wa maswala ya migogoro ya ardhi ani pm...
  5. Amyner

    Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Walisema mbona hawagusi vigogo sasa kaanza kawataja bado mnamsakama. Hamjawahi kupoteza ndugu kutokana na hili janga eeh!! Sasa hivi issue imegeuka eti utajiri wake? Watanzania kweli tumelogwa:(:(
  6. Amyner

    Nani mkali? Kenny Rogers & Don Williams!

    I can't choose between the two!! I just love them all.
  7. Amyner

    Picha za wanasiasa wetu wa kipindi hicho

    Long time kweli babe, missed you! nimerudi bado nayasoma mazingira [emoji28] nimekuwa mgeni sasa
  8. Amyner

    Picha za wanasiasa wetu wa kipindi hicho

    Katika ubora wake kitwanga
  9. Amyner

    Profesa Mkilaha ajipiga risasi bahati mbaya na kufa wakati akisafisha bastola yake

    Sounds like homicide to me. Tatizo Tz hatuna utamaduni au mazoea ya kufanya autopsy au investigation incase kifo chenye utata kama hiki kikitokea.
  10. Amyner

    Bora u-dikteta wa Magufuli kuliko demokrasia ya Kikwete

    Walipingwa manabii itakuwa Magufuli! Atupeleke tu kwa mbio hizo zinazoitwa "udikteta" maana tushapelekeshwa kwa style ya kubembelezana na kuchekeana chekeana ona tulipofikia!
  11. Amyner

    Nani Alikuwa Bora kati ya Zidane na Ronaldinho?

    Watching Ronaldinho playing was very entertaining! (The Brazilian Samba style) He was among the greatest players of those times! But Zidane was better than him. Waweza kuwalinganisha Ronaldo na Zidane labda. But not Ronaldinho..
  12. Amyner

    Picha ni mbaya: Aibu ya vyoo vya Mwananyamala hospitali

    Aisee... Hapo sasa ni kwenda kuzoa ugonjwa mwingine badala ya kupata tiba!
Back
Top Bottom