Nani Alikuwa Bora kati ya Zidane na Ronaldinho?

Nani Alikuwa Bora Kati ya Zidane na Ronaldinho?

  • Total voters
    27
  • Poll closed .
Sikuwahi kuupenda mpira na wala sikujua mpira ni Nini na wala sikutaka kuufuatilia mpira sikuona furaha au faida ya mpira lakini baada ya kubahatisha kuchungulia dirisha la jirani yetu mnamo 2002 na kutazama kombe la dunia kipindi cha Fainali hapo ndipo nilitaka kujua zaidi kuhusu mpira hasa hasa kuucheza I was inspired in one day by one person and all at once I become a fan RONALDINHO GAUCHO ni hatari zaidi mjumlishe zidane,ronaldo(wa sasa),movic,neymar,messi wajumlishe wote hawa utapata robo ya RONALDINHO.

NIMESHAIFUNGA HII IISHIE HAPAHAPA
 
Watching Ronaldinho playing was very entertaining! (The Brazilian Samba style) He was among the greatest players of those times! But Zidane was better than him. Waweza kuwalinganisha Ronaldo na Zidane labda. But not Ronaldinho..

We binti hebu kuwa na heshima hata kidogo. Ronaldo ambaye hata kwa Messi anasumbuana naye ndio umlinganishe na Balozi wa soka la mbinguni duniani?? Unapozungumzia masuala ya soka UCHO mfungie kabatini, then endelea kudiscuss kuhusu hawa wengine. Alaaaaah!!
 
Sikuwahi kuupenda mpira na wala sikujua mpira ni Nini na wala sikutaka kuufuatilia mpira sikuona furaha au faida ya mpira lakini baada ya kubahatisha kuchungulia dirisha la jirani yetu mnamo 2002 na kutazama kombe la dunia kipindi cha Fainali hapo ndipo nilitaka kujua zaidi kuhusu mpira hasa hasa kuucheza I was inspired in one day by one person and all at once I become a fan RONALDINHO GAUCHO ni hatari zaidi mjumlishe zidane,ronaldo(wa sasa),movic,neymar,messi wajumlishe wote hawa utapata robo ya RONALDINHO.

NIMESHAIFUNGA HII IISHIE HAPAHAPA

Mkuu umemalizaaaaaa
 
Sometme tuwe serious hata kwa dk moja. Upo serious kabisa unalinganisha Range Rover na Rav 4 kill time? Gaucho ni alien yule si mwenyeji wa hapa duniani katika suala la soka.alishuka toka sayari nyngne aje kuwaonesha watu namna ya kucheza mpira. Sikatai zidane ni mzuri but nipo chini ya miguu yako.nakuomba sana.please please usimlinganishe na Baba Gaucho Ronaldinho. Gaucho mwachen tu jaman apumzike mpaka atakaporudi kwenye sayari aliyotoka. Inasemekana FIFA wanaomba sana asiondoke abak dunia hii hii but huko wanasema wanataka arudi ili wakamtolee copy then ndon arudishwe dunian tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom