Picha za wanasiasa wetu wa kipindi hicho

Katika wote aliyetokea vizuri ni comrade che guevara,na hapo mwalimu kwenye press conference body langiage yake mnaionaje?
 
Chanzo: Mitandaoni

Hii picha ndiyo imetia doa hapo, ifute kabisa kwa maana hii familia ni kirusi cha wizi na Ufisadi wa nchi hii!
ckf6tetxiaaa7ap-jpg.359370
 
We jamaa ni Kati ya wapuuzi nliowahi kuwaona JF basi wewe unashika namba moja. I hate you, kama ningepewa nafasi ya kukutana na wewe Jambo la kwanza ningekukata kelbu ndo tusalimiane[emoji36] [emoji38]
 
Achana nae huyo, huyo ni mwenzie kina Kaoge!!
 
Nimeipenda ya mark mwando! kumbe naye alikuwaga teen anyway!who doesn't like been teen!
 
We jamaa ni Kati ya wapuuzi nliowahi kuwaona JF basi wewe unashika namba moja. I hate you, kama ningepewa nafasi ya kukutana na wewe Jambo la kwanza ningekukata kelbu ndo tusalimiane[emoji36] [emoji38]
Sioni kosa lake mpaka ufikie kufikiria kumpa kelbu,alikuwa anatoa maoni yake tu.....
 
Back
Top Bottom